Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
 
Kama wakili msomi Mwabukusi alikuwa amelewa na kaongea zile point, basi anastahili kuwa hata Rais wa JMT. Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.
Tanzania inawahitaji walevi wa kariba ya wakili msomi Mwabukusi na siyo hawa vilaza waliotutangulia.
 
chanzo kilimwaga data na kutikisa taya

1689255743208.png
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Upumbavu mtupu. Huyo rafiki yako yawezekana ni mlevi kupindukia. Yawezekana huyo rafiki yako alikuwa anasikia harufu ya matapishi yake ya pombe alizokuwa amebugia jana yake.

Hakuna mlevi mwenye uwezo wa kufanya presentation yenye hoja za weledi mkubwa kama ile aliyoifanya wakilo msomi Mwambukusi.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kupuuza hoja za wakili Mwambukusi. Watapuuza maneno ya mtu mjinga kama haya ya kwako.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
[emoji706]
 
Kama wakili msomi Mwabukusi alikuwa anelewa na kaongea zile point, basi anastahili kuwa Rais wa JMT. Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama DP World.
Tanzania inawahitaji walevi wa kariba ya wakili msomi Mwabukusi..
wanaongea tu, kwa tuliowahi kukutana naye, ile ndio ongea yake tena akiwa sobber. nimefuatilia, yule ni mtoto wa chuga, amelelewa chuga maisha yake yote though ni mnyakyusa, akiongea utaona kabisa lafudhi yake, kwahiyo kama walitegemea ataongea lafudhi ya mbeya na kwamba akiongea lafudhi ya arusha wataamini kalewa kwasababu haongei kinyakyusa, basi mmepotea sana. he was sober.nilishakutana naye mahakamani arusha, that's how he is.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Huyo rafiki yako anafanya kazi kwenye chombo kipi. Habari ya hii press haikuandikwa kwenye gazeti lolote au haikurushwa hewani na chombo chochote.
Kama ni mwanahabari kweli si angeiandika habari ya hiyo p. Conference.
Huyo jamaa yako aidha Ni muongo au alifuata bahasha ya khaki.
Aliyesaini mkataba bila kuusoma ndio mlevi. Whisky kidogo tu mwanaume anamwaga wino.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Chezea vyombo
 
Alaa ndio maana kasema Tanganyika imebakwa
 
Back
Top Bottom