Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hebu tuambie, ule mkataba wa bandari na mwarabu ni wa muda gani?[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna hoja hao porojo tu ukitoa hayo maneno yao makali hamna hoja.
Likiisha watakuja suala la katiba.
Huyu atakuwa anatumia Cha Arusha sio bureWakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hojaHebu tuambie, ule mkataba wa bandari na mwarabu ni wa muda gani?
Kwanini mwarabu ameachiwa aje kujitawala ndani ya ardhi ya Tanganyika, atumie njia zote za usafirishaji vile atakavyo?
Kwanini mwarabu lazima awe wa kwanza kujulishwa kuhusu fursa zote za kiuchumi zitakazojitokeza ndani ya nchi yetu? wao ni nani kwetu hasa?
Nimekuuliza ya kwenye mkataba, unanijibu ya makanisa, naamini unajiona ulivyo zuzu.Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Hao hao wanaopiga bandarini ndio wamewaleta DPworldWakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Kutetea kitu kibovu kunahitaji kujitoa akili. Usidhani udalali ni kazi rahisi Kwa vile unapata hela. Wakati mwingine Mpiga Debe stendi anaweza kutangaza sifa za basi bovu likaonekana jipya. Ni aibu Kwa Msemaji wa serikali kuwa kama Mpiga Debe asiyejua madhara ya anachokiongea. Kusema DP World wanapewa bandari Kwa sababu kuna ipigaji mwingi pale bandarini ni kuivua nguo serikali anayoisemea. Ameajiriwa kuipamba serikali lakini yeye anaivua nguo, na yenyewe badala ya kuchutama imeamua kupanua. Watu wanatoka kutetea makosa Yao Kwa kutumia hoja zinazowadhalilisha wao wenyewe kwamba wameshindwa kuongoza. Ingekuwa nchi za wanaojitambua kesho yake asingekuwa ofisini. Waziri Mkuu mbali ya madhaifu yake ya uongo uongo lakini sijamsikia akisema serikali ni dhaifu ndo maana imeamua kubinafsisha bandari na si moja Bali zote. Kwamba upigaji bandari ya Dar es salaam ndo unaosababisha Sasa bandari zote Tanganyika apewe DP world? Kuthibitisha upigaji inatajwa ripoti ya CAG, ni sawa ripoti zote zimesema hivyo. Mbona basi Jeshi la Polisi ambalo limetafuna mpaka rambi rambi za Askari wao na Kila mwaka wanapiga "Distinction" kwenye paper za PCCB halijatafutiwa Mwekezaji akapewa mpaka vituo vya Polisi vitakavyojengwa 2050?Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo
Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Na huu ndo ukweli. Usinambie Waziri wa fedha hajui kinachoendelea Kwa Sasa kama Hana mgao.Hao hao wanaopiga bandarini ndio wamewaleta DPworld
Huyo Accumen Mo aseme pia kuna msikiti ulichangiwa fedha na kanisa huko Dodoma..!!Nimekuuliza ya kwenye mkataba, unanijibu ya makanisa, naamini unajiona ulivyo zuzu, kama makanisa kupewa ruzuku na serikali roho zinawauma, nayi jengeni hospitali zenu kupitia misikiti mpewe hizo ruzuku mnazolilia kama watoto.
Lakini hamuwezi kupewa ruzuku kwa kupepeta midomo yenu tu kama mnavyofanya, hiyo pesa ya kupepeta midomo haipo serikalini.
Unajielewa kweli ,which professional are you ? nisije bishana na mtu kumbe mwalimu wa History.Be professional, umeulizwa kushoto umejibu kitu ambacho ni un related kabisa. Swali hujibiwa na jibi si swali lingine
Kwahiyo hapa unachotaka kutuambia ni kuwa mkataba wa DPW na TZ hauna muda kwa vile MoU ya kanisa na serikali haina muda? This is the best bullshit of all times.Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Ni MisikitiHuyo Accumen Mo aseme pia kuna msikiti ulichangiwa fedha na kanisa huko Dodoma..!!
Wakili mwanasheria huyonisije bishana na mtu kumbe mwalimu wa History.
Ule wa Mou ndo bullshot ya kwanza , then mnafuatia weae ambao umeanza kufuatia siasa mwaka janaKwahiyo hapa unachotaka kutuambia ni kuwa mkataba wa DPW na TZ hauna muda kwa vile MoU ya kanisa na serikali haina muda? This is the best bullshit of all times.
BTW, unaposema.. nanukuu :ntakujibu kwa hoja. Mwisho wa kunukuu.. Maana yake UMEJIONA KABISA HUNA HOJA AND YET UKATUWEKEA HIZO PUMBA ZAKO..!!