Mwabukusi: DPW ingebidi wapewe Bunge waondoke nalo kabisa

Ahh kuna mahali nimetaja ubaguzi au ku indicate ubaguzi? Get a grip boy
Soma hoja za wenzio kabla ndo wameleta ubaguzi..Anzia na ile wazanzibar wanauza mali za Tanganyika kama kweli hastahili kwa nn ni Rais mpaka sasa?
 
Akiwa na tonge mdomoni👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.

Baada ya kunyang'anywa tonge mdomoni👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Soma hoja za wenzio kabla ndo wameleta ubaguzi..Anzia na ile wazanzibar wanauza mali za Tanganyika kama kweli hastahili kwa nn ni Rais mpaka sasa?

Kumbe ni hoja za wengine. Address them bro not me
 
Kumbe ni hoja za wengine. Address them bro not me
Sasa hao ndo ndo wameharibu mjadala mpaka sasa na kuleta hofu mfano ile press ya jana ni chuki tu hamna cha maana mara sijui mtu anatishiwa kuuliwa😂
 
Kwa hiyo mnawapa bandari zote DPW kwa sababu ya dini?
Hakuna sababu ya udini viongozi wako wa dini ndo wameanza haya mambo ya udini ,hao DP world hawana uhusiano na dini ni uoga wa viongozi wako waliokuwa wakipitisha mali kwa mgongo wa dini ili wasilipe kodi ndo wanachoogopa.
 
Waondoke na Tulia kabisa ….pesa ya walipa kodi iliyomsomeshea Tulia bora wananchi wangenunuliwa KOMONI wakanywa ……yaani ni mtu mwenye dharau , ubabe na mjinga kupata kutokea nchi hii …..akipewa madaraka yule atakuwa mbaya kuliko magufuli ..
Kimsingi anayemfanya samia kuvunja katiba ni TULIA
 
hakika hakuna ambaye angepinga hilo. wangeondoka nalo tu. safari hii mmekutana na bange ya arusha, mbichi kabisa. atawasumbua sana huyu.
 
To cut short,

Uzalendo wa Dr Wilbroad Slaa, Si wa kutiliwa mashaka,

Jimbo la karatu, alionyesha usomi na UWAJIBIKAJI wa kutolewa mfano.

Nafasi ya ukatibu mkuu CDM Hadi Leo haijazibwa.

Bungeni amewafundisha vijana wengi siasa na kujiamini, Zittow, Mnyika, Mdee ni matokeo ya KAZI yake,

Mungu mbariki Dr SLAA.

Amen
 
Sitta alikuwa jasusi wake bungeni akimpa info zote hakuwa na lolote, Sitta alipopigwa chini baada ya kushtukiwa na yeye ndio ikawa mwisho hakuwa na hoja tena.
 
Sitta alikuwa jasusi wake bungeni akimpa info zote hakuwa na lolote, Sitta alipopigwa chini baada ya kushtukiwa na yeye ndio ikawa mwisho hakuwa na hoja tena.
Acha basi,

Yaani Slaa ni WA kumtegemea 6 kumpa info?

Acha nikae kimya ktk hili!!!
 
Acha basi,

Yaani Slaa ni WA kumtegemea 6 kumpa info?

Acha nikae kimya ktk hili!!!
Uliza watu wakwambie wewe, Wewe unajuwa sababu za CCM kuleta mizengwe kutaka speaker mwanamke? Sitta alishashtukiwa baada ya kuondolea Sitta nini DR Slaa alifanya tena? zero sababu CCM walikata source zote. Huo ndio ukweli utake usitake uliza watu wa CCM damu sababu za Sitta kupigwa chini u speaker.
 
Huyu anafosi afanyiwe ya ulimboka lkn enzi zile zishapita . Mama anaendelea kunywa maji safi na salamq na vyura na makelele yao wamepuuzwa.
 
Na sasaiv Slaa hizo taarifa za serikali anapewa na nani?
Sitta?
 
Na sasaiv Slaa hizo taarifa za serikali anapewa na nani?
Sitta?
Taarifa gani? siku hizi anadandia habari zinazo trend sasa yuko bandari. na wamekuja kujuwa mambo ya bandari sababu serikali waliweka hadharani zamani issue kama za Richmond alizitoa yeye sababu kina Sitta walikuwa wanampa data zote toka Sitta kuondolewa hoja gani ya siri labda kaibua hadharani? Ya bandari kwa nia njema Serikali iliweka public. Na haya anayaongea hivi sasa hakuna ambacho hatukijui ule wakati anaoneka mwamba kajuaje hili ndio nakwambia Sitta na kundi lake walikuwa wanampa details, na ndio likawa anguko la Sitta.
 
Dr Slaa anakubalika kwa ujengaji wa hoja.
Sio hayo matakataka unayoyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…