chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.