Mwabukusi hatafanikiwa kwa lolote lile pale TLS bila kushirikiana na Serikali. Hatakuwa masiha, akiifanya TLS mkono wa CHADEMA, atapata majibu

Mwabukusi anasubiriwa saiti tu, ngoja atoke honeymoon hapo ukumbini anaposhangiliwa.
Nakushauri mzalie mwabukusi angalau mtoto mmoja na umwite KAJUNJUMELE nadhani utaishi kwa amani vinginevyo utaugua Mwabukusios ugonjwa mpya usababishwao na bacteria aitwae Mwabukusae Kajunjumelensis
 
Haitoshi, CWT, TUCTA, TUGHE na unions nyingine zote zinatakiwa kuwa taasisi za kiharakati.
Huto tuvyama ndio maana tunadharauliwa sana na serikali hata mapendekezo ya kuboresha maslahi ya wanachama wao yanayotolewa siku ya mei mosi hakuna anayeyajali
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Dogo tulixa mshono au MCHAZA sisi wangoni tunaita hivyo 😅🤣
 
Hakuna haja ya kuwa na vyama ambavyo havijitoshelezi mpaka kuharibu vyama vya kitaaluma.
TLS, TUGHE, TUCTA na CWTsio vyama vya kitaaluma, vyama vya kitaaluma ni kama Medical Council of Tanganyika
Pia Jifunze kuhusu
ACLU- Lawyers
Teamsters- Workers
WHCA- Journalists
Police Benevolent Association of the City of New York
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Kwa ufupi mkuu Chinembe unaweweseka!
 
Soon atajiona mkubwa Sana, ataonyesha disrespect kwa judiciary,atapelekwa kamati ya maadili na kufutiwa leseni. Automatic atakosa sifa ya kuwa raisi
Dua la mwewe halimpati kuku
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Kwani Lissu, Fatuma karume na Nshalla wao Vipi mbona hamkuwazungumzia sana au tuseme mnamuogopa yeye kuliko wao
 
Hata asipofanikiwa muhimu tumechoka na nchi kuongozwa na mapopoma
 
Mawakili mmeamua kuwakabidhi CDM chama chenu.
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Unataka afanikiwe kwa miaka 3 wakati TANU na baadae CCM vimeikwamisha nchi kuanzia mwaka 1961 hadi leo?!
 
T.L.S ndio nini?
Ungekuwa na akili ningekwambia uzitumie!
 
Wewe ulitakaje? Ulitaka CCM washinde? Law Society of Kenya wakati wote inaendeshwa na na wanaharakati na ndio maana iko moto vibaya mno, Hii nchi mnataka wakati wote tuwe tunawapigia watawala magoti? kila kitu mnataka tuwe tunaimba mapambio?
Mkuu unamjibu huyo kichaa,ambae amejaa hofu na woga.
 
Nabii Mwabukusi Hana uoga, ninyi majizi ndio mtafute pa kujifichia.
 
Unataka afanikiwe kwa miaka 3 wakati TANU na baadae CCM vimeikwamisha nchi kuanzia mwaka 1961 hadi leo?!
Hiyo history ulikuwa unaisomea wapi?! Akili za shule za kata hizo
 
Back
Top Bottom