Mwabukusi hatafanikiwa kwa lolote lile pale TLS bila kushirikiana na Serikali. Hatakuwa masiha, akiifanya TLS mkono wa CHADEMA, atapata majibu

MaCCM mkae mtulie.sindano ziwaingie. Mwaisa ameonyesha dhahiri kuwa ana uwezo wa kupambana na majizi (CCM). Hamtamuweza.
 
huyo jamaa atafeli mapema sana
 
Kwani walioshirikiana na serikali walipata nini?
 
We jamaa una miaka zaidi ya kumi ukiwa member wa JF. Mpaka Leo bado chawa wa CCM.

Hili taifa Lina raia wa hovyo sana.

Hii nchi ina allergy na watu wanaojitambua. Lawyers ni moja wapo ya Makundi yanajitambua.
 
Mbona kelele mapema Mwabukusi hata hajanywa supu aisee.Hebu Subiri Rais aamke.
 
Mtanzania yeyote ambaye anachukia kuminywa Kwa haki lazima amkubali mwambukusi.Ikiwezekana mwambukusi akimaliza uongozi wake TLS ajiunge na chama Cha siasa ili wananchi tumchague awe rais ili Nchi inyooshwe kutokana na kuharibuwa na hawa CCM.Naamini Kwa misimamo yake Ile ya kupinga kuonewa watanzania na hii serikali dhalimu ya ccm pamoja na kupinga mikataba ya hovyo kama Ile ya Dp world na Ile ya LNG,huyu mzalendo atatusaidia sana Kwa Nchi kupiga hatua kimaendeleo.
 
Soon atajiona mkubwa Sana, ataonyesha disrespect kwa judiciary,atapelekwa kamati ya maadili na kufutiwa leseni. Automatic atakosa sifa ya kuwa raisi
 
Huo ndio ukweli japo watu wanaona kama uko biased Ila sio hvo T.L.S ni chombo kikubwa na Chenye mchango mkubwa kisheria nchini hakipaswi kihudumiwa kiharakati
 
Umechelewa ndugu yangu, ulitakiwa uyaseme hayo kabla Mwamba hajachaguliwa. Sasa hivi tusubiri mambo mapya, usikariri ya zamani mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…