Kwanini haya yote yanatoka wapi?Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Kwa akili hizi mgando utamfudisha naniNadhani naweza hata kukufundisha darasani
Wewe ni mweupe sana kichwani. TLS ni professional body. Siyo political party as you think.Nadhani naweza hata kukufundisha darasani
Wanaharakati wamekiharibu chama.
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Umekosa hojaMwabukusi anasubiriwa saiti tu, ngoja atoke honeymoon hapo ukumbini anaposhangiliwa.
Afu wewe Atoto weweeee...!!Sasa kama hakuna atakachofanya, mbona mnahaha sana!!!
Chadema haitoshi ??TLS inatakiwa iwe chama cha kiharakati
Haitoshi, CWT, TUCTA, TUGHE na unions nyingine zote zinatakiwa kuwa taasisi za kiharakati.Chadema haitoshi ??
🚮 🚮 🚮Soon atajiona mkubwa Sana, ataonyesha disrespect kwa judiciary,atapelekwa kamati ya maadili na kufutiwa leseni. Automatic atakosa sifa ya kuwa raisi
Haya ni matawi ya CCMHaitoshi, CWT, TUCTA, TUGHE na unions nyingine zote zinatakiwa kuwa taasisi za kiharakati.
na atawanyoosha.Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Hakuna haja ya kuwa na vyama ambavyo havijitoshelezi mpaka kuharibu vyama vya kitaaluma.Haitoshi, CWT, TUCTA, TUGHE na unions nyingine zote zinatakiwa kuwa taasisi za kiharakati.