Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.

Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.

Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.

Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.

Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.

Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.

View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==

My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013

Baada ya Mbukusi kupwaya Kisiasa naona anatafuta kiki Kwa kutembelea nyota ya Jiji la mbeya.

We kesho usikurupuke tena
 
Jamani tuwe wakweli mbeya kama jiji imesahaulika sana kimiundombinu. Mbeya badala ya kukua inarudi nyuma. Mwabukusi anaongelea uhalisia. Kwa sasa mbeya ndio jiji la hovyo kuliko majiji yote hapa Tanzania. Halina mvuto kabisa!
Wanyakyusa hawana tofauti na ŵahaya: wao wanawekeza chini tu—eti kumwaga maji.

Ndiyo maana mji wa Bukoba hauna tofauti na mji wa Mbeya.

Malabuku one head
 
Wanyakyusa hawana tofauti na ŵahaya: wao wanawekeza chini tu—eti kumwaga maji.

Ndiyo maana mji wa Bukoba hauna tofauti na mji wa Mbeya.

Malabuku one head
Ukitaka wanayakyusa ndio wajenge Barabara au mi sijakuelewa?

Magorofa yote yanayojengwa Mbeya Kwa Sasa ni ya wenyeji wa Mkoa huo ,Mbeya,Njombe na Songwe sijaona mchina Wala mchaga.

Na magorofa Kwa Sasa yanajengwa sana hapo Mbeya.Kwa wastani Kwa Sasa wanajenga kati ya magorofa 20-30 Kwa mwaka.Kwa Mbeya tunayoijua hii ni kasi kubwa sana haikuwahi tokea kabla.
msafwa__255_1785419978315.jpg

Tena kuanzia Mbalizi Hadi Uyole
IMG_20260730_073443_605.jpg
 
Ukitaka wanayakyusa ndio wajenge Barabara au mi sijakuelewa?

Magorofa yote yanayojengwa Mbeya Kwa Sasa ni ya wenyeji wa Mkoa huo ,Mbeya,Njombe na Songwe sijaona mchina Wala mchaga.

Na magorofa Kwa Sasa yanajengwa sana hapo Mbeya.Kwa wastani Kwa Sasa wanajenga kati ya magorofa 20-30 Kwa mwaka.Kwa Mbeya tunayoijua hii ni kasi kubwa sana haikuwahi tokea kabla.
View attachment 3648059

Tena kuanzia Mbalizi Hadi UyoleView attachment 3648061
Mnakumbuka shuka wakati kumekucha?
Kujengwa kwa maghorofa kwa wakati huu (2026) hakuondoi ukweli kwamba mliwekeza sehemu isiyo sahihi: chini.

Lakini pia kujengwa kwa maghorofa mengi hayamaanishi Mbeya ndiyo imeendelea. Kazi bado sanaa.
 
Ndio ,ni Bora ukumbuke shuka saizi kuliko kutojumbuka kabisa.

By then watu waliaminushwa upuuzi kwamba eti sijui Kuna tetemeko mara maji mengi sijui mwisho ni gorofa 2,na yake mambo ya kuoig nondo.

Hiyo Nonsense ndio ilichelewesha Mbeya ila Kwa Sasa Mkoa uko busy balaa kwenye biashara na Uchumi kuanzia Viwanda Hadi real estates
IMG_20260729_185238_183.jpg
IMG_20260730_073736_362.jpg

Kiwanda Cha Mo

View: https://www.instagram.com/p/DbsNIj1C_SH/?igsh=MWd6b3VmbDZ2OXRuNg==
 
Back
Top Bottom