Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Mkoa gani hauna miundombinu mibovu?

Wewe ndio mjinga maana unajaribu kulazimisha ionekane hakuna kitu kimefanyika wakati si kweli.

Hakuna pesa za kukuwekea lami Kila mahala na hakuna Mji wenye lami Kila mtaa.

In fact Mbeya Kuna nafuu sana,vumbi litaendelea kutimka Hadi unakufa maana Ardhi sio ya mchanga.
Main road tu imejaa vumbi,
Kama huoni hilo basi wewe ndio mjinga na mpumbavu wa mwisho.
 
Main road tu imejaa vumbi,
Kama huoni hilo basi wewe ndio mjinga na mpumbavu wa mwisho.
Kwani wewe unatumia makalio kufikiria au? Unaona main road inajengwa ulitegemea ijae nini zaidi ya vumbi? Pilau ama?
 
Relax kijana nani kakuambia nmefika mara moja? First time naingia Mbeya wewe ilikua unapangusa kamasi...

Kijiji nachotoka kuna maendeleo kuliko hivyo vichochoro vya Mbeya.
Ardhi ya mbeya kiasili ina mawe ndio maana hata barabara zimejaa mawe. Ni kupitisha greda tu na kumwaga kifusi.

Kijana kubali mbeya ni kusanyiko la vijiji...
Wewe ni WA Iringa ambayo ni sawa na Kijiji ,nyie Kila kitu mtakuwa mnayegemea Mbeya na Dom nothing else.
 
Kaka mwabukusi ametisha haiwezekani nimetafuta pesa Kwa tabu sana na sina sehemu Kwa kwenda kuzitumia nikiwa mbeya pamepoa yaani ndugu zetu wameshindwa kabisa kutunga sera wezeshi hata wasiopotoa hela watengeneze mifumo mbeya ikue ichangamke
 
Ukitoa Kariakoo Kuna sehemu ipi Tanzania hii imechangamka kuzidi Mbeya? Umewahi kuona Mbeya public transport wanalala ?

Nyie ni wale mnaoripoka msichojua.
 
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.

Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.

Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.

Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.

Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.

Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.

View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==

My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013

Ebu acha porojo jibu hoja ya Mwabukusi!
 
Ulitaka Mwabukusi afanye uchawa kama unaofanya humu wewe ChawaVariable wa kusema Tanzania ina viwanda 28000.

Yaani wewe hata mtu mwenye mashine ya juisi ya matunda mtaani unaita kiwanda.
 
Ukitoa Dodoma wapi kwingineko hakujajengwa ki hovyo hovyo?

Yaani niache kujivunia kwetu nijivunie K Yako? Hauko serious wewe ni mtumwa.

Mbeya ni Jiji Maarufu Tanzania Lina Kila kitu kinachopatikana kwenye Majiji mengine Sasa wewe sijui unaongea nini.
Is your brain function properly? Hujui unachoongea fala wewe. Wewe ni matako tu fala wewe, hujui nachoongea, inahusiana vipi na utumwa fala wewe. Mshenzi mkubwa wewe. Umaarufu wa Mbeya upo wapi? Kwani tukisema kwingine kote kujengwe vizuri huoni faida mbwa wewe.
 
Acha kuropoka,niache kujivunia kwetu nijivunie K Yako au?

Mbeya ni Maarufu sana kunatokea watu aggressive sio vilaza na low esteem kama wewe nguruwe wa kisasa.
 
Back
Top Bottom