Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Hizi za kuifanya Tanga na Mbeya kuwa majiji🤣
Nadhani hujawahi fika tanga muda, Tanga, Katika mji unaokuwa kwa kasi Tanzania ni hili jiji,
Vitu vifuatavyo vimechangia sana
Bandari ya tanga inapiga kazi muda wote wa siku, Tanga sahivi kuna muingiliano mkubwa sana wa magari na bandari kavu zimekuwa nyingi hadi zisizo rasmi, Bandari imetoa ajira za kudumu na zisizo za kudumu nyingi sana, Nchi kama Congo, Rwanda, Burundi, Malawi Uganda, Zambia hutumia bandari ya tanga. Fanya uwende ukajionee siyo siasa Ninazokwambia
Mradi wa bomba la mafuta ghafi umetoa ajira nyingi sana, kiufupi kila sekta unayoijua wewe kwa tanga imegushwa kutokana na bandari na Mradi wa Eacop
 
Jiji gani Madem weusi hivyo na wenye sura za kutisha tisha!!??
 
Mbeya ina deserve miradi mingi zaidi. Hivi umeona Dar sasahivi? Kila sehemu ni ujenzi wa barabara, nyingine zinakuwa renewed, wanaweka hadi sidewalks Dsm, angalia video za Bertin

Mbeya ndio ilipaswa iwe hivyo. Naongelea ndani ya jiji. Ilipaswa kuwe na ujenzi massive wa mtandao wa lami kila kona ya jiji na barabara zilizochoka ziwe renewed, na waweke sidewalks na proper drainage system kama Dar, nimeona maeneo mengi ambayo recently wameweka closed drainage system, miradi kama hiyi na hapa Mbeya inahitajika

Halafu upande wa mazingira inabidi waanze upandaji wa miti, yani urbanisation inavyoongezeka Mbeya watu wanakata miti hovyo sana. Jiji litapoteza status ya Green City
 
Mbeya kila nikija huo ugreen mbona siuoni
Kwa sababu ya uswazi. Imejaa sana uswazi wanakata hovyo miti
Ila kiasili Mbeya ni green
PXL_20260611_131031568.jpg
PXL_20260424_143226935.jpg
PXL_20260424_142634107.jpg
PXL_20260424_141159183.jpg
PXL_20260424_141102462.jpg
PXL_20260424_141037142.jpg
PXL_20260423_045132055.jpg
 
Back
Top Bottom