ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #141
Ukweli upi?Amesema kweli kabisa
Ukweli upi?Amesema kweli kabisa
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.
Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.
Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.
Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.
Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.
View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==
My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013
Mwabukusi kasema kweli, ww ni wale wajinga wanaosema usiseme mtoto wako hana akili kwa kupata division IV, wakati kuna waliopata zero.Kwani hakuna miradi? Hakuna Barabara kuu na za mitaani zinazoendelea na Ujenzi? 👇👇View attachment 3643950
Stendi kuu ,masoko ,Viwanja vya mpira vya kisasa no vyote vinajengwa.
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.
Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.
Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.
Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.
Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.
View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==
My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.
Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.
Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.
Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.
Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.
View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==
My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013
Wewe ndio umeandika 🚮🚮
Hadhi ya Jiji na makao Makuu ya Wizara ya Kilimo Kuna uhusiano upi?
Yaani nyie Chadomo akili zenu ni kama kuku sidhani kama Kuna kitu unajua kati ya ulivyoandika.
1.Yaani wewe hujui kwamba uboreshaji wa reli ya Tazara ukishaanza? Je Kuna stesheni kubwa ya Tazara kama ya Mbeya ukiacha ya Dar.
2.Kwamba uko huko kwenye njaa huna hata pesa ya kusafiri unazungumzia Barabara Mbeya? Kwani Barabara hazipanuliwi na Kujengwa Mpya?
3.Uwekezaji wa Serikali kama upi unataka wewe? Mbeya Ina hadhi ipi maalumu ya Kitaifa Hadi kuwe na uwekezaji spesheli wa Umma?
4.Mbeya Ina uwekezaji wa sekta binafsi ndio maana ni injini ya Uchumi hapa Tanzania
View: https://www.instagram.com/p/Da49mxsFbW3/?igsh=MWFyanZzMHNxMWdrYQ==
Mbeya Jiji ni kubwa ila haiko plannedJamani tuwe wakweli mbeya kama jiji imesahaulika sana kimiundombinu. Mbeya badala ya kukua inarudi nyuma. Mwabukusi anaongelea uhalisia. Kwa sasa mbeya ndio jiji la hovyo kuliko majiji yote hapa Tanzania. Halina mvuto kabisa!
Nimetoka last week tu...Wewe utakuwa lofa,Mbeya Kuna Barabara za mawe?
Jiji sio mihemko ni vigezo,ndio ni Jiji na Cha kufanya huna
Hamna jiji pale... ni limkoa likubwa jingaWanafuga kitimoto katikati ya jiji
Jiji linaekwa lifti kwa mara ya kwanza watu wake wanashangilia!Hamna jiji pale... ni limkoa likubwa jinga
Ulitaka walie? Jiji gani halina nyumba za tope? Mbona huko kwenu zimejaa tembe?Jiji linaekwa lifti kwa mara ya kwanza watu wake wanashangilia!
Tena hiyo ni 2014.
Jiji nyumba za udongo mpaka panapoitwa mjini lakini chawa ChoiceVariable hashtuki tu kuwa Mbeya ni mkusanyiko wa vijiji na sio jiji.
Ungeweza tu kuchangia bila kutusema vibaya majitu ya hukuMbeya hapana asee,ule ni muunganiko wa vijiji ,hamna jiji pale.
Na majitu ya huko yamejaa ego hatari.
Mumeshindwa kuja na hoja za maana kuhusu Mbeya 😂😂Mbeya ni kijini fulani kikubwa kisicho na mpangilio.
Naona Mbeya inakutesa kisaikolojia na kimwili.Hamna jiji pale... ni limkoa likubwa jinga
Mbeya sio sawa na kijijini kwenu ambako hakuna magari Barabara zinatumika na ndio maana zinaisha.Nimetoka last week tu...
Barabara za mtaa hizi za kawaida sio lami ni mmejaza mawe sio changarawe
Ukiendesha gari mbeya barabara za mtaani ni kunesanesa tu.
Vumbi, mawe, bajaji kama uchafu mji haueleweki umekaaa kaa tu.
Ule ni mkusanyiko wa vijiji vikubwa sio jiji lile....
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.
Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.
Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.
Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.
Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.
View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==
My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.
View attachment 3644013
Wewe acha Kuandika pumba na kuhemka mambo usiyoyajua.Ni kwamba unaropoka,haya tueleze basi Hilo soko la Kimataifa la mazao lilikojengwa 😂😂Unaongea pumba tu, na kitakwimu yako ya kwenye makaratasi, wenye mbeya ndio tunaijua mbeya yetu, unasema wizara ya kilimo ina mahusiano gani, kwani hujui kwakuwa ikulu imehamia Dodoma serikali inaboresha miundo mbinu ya barabara na kuhakikisha Dodoma inakuwa na hadhi, nilijua unatumia akili kumbe ziro kabisa, eti mbeya una hadhi gani kitaifa? Nakuambia sio kitaifa tu hata kimataifa, mwaka 2008 soko la kimataifa la mazao jumuiya ya SADC lakini miundo mbinu ya mbeya ni mtihani hakuna uwekezaji mkubwa au miradi mikubwa ya serikali kuhakikisha Mbeya inakidhi hadhi ya kuwa kitovu cha biashara ukanda huo.
Upo hapa unaongea ongea uharo, mbeya yenyewe huijui wenye mbeya wanaongea ukweli unajifanya kiherehere hata hujui chochote, jifunze kukaa kimya sio ujinga ni busara
Relax kijana nani kakuambia nmefika mara moja? First time naingia Mbeya wewe ilikua unapangusa kamasi...Mbeya sio sawa na kijijini kwenu ambako hakuna magari Barabara zinatumika na ndio maana zinaisha.
Kufika mara Moja hakukufanyi kuijua Mbeya na Mbeya ni muhimu sana kiuchumi ndio maana huwezi kuikwepa yaani utafika na kufika kama maji.
Mwisho aliyekwambia Kila Barabara ya mtaa ina lami ni nani? Wewe kwenu Kila mtaa Kuna lami?
Yani niache kuteswa na mambo ya muhimu niteswe na mkoa.Naona Mbeya inakutesa kisaikolojia na kimwili.
Ndio Mkoa wa 3 Kwa GDP,haya kaushushe Sasa na ni Jiji 😂😂