Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Sogea hapo iringa tu uone mji ulivyopangika,barabara safi zenye viwango
Unaleta Vijiji badala ya Majiji? Hivyo Vijiji havina shughuli zozote za maana kiuchumi Wala muingiliano wa watu mkubwa na hata population Yao ni ndogo na vimiji vidogo.

Ukijenga km 3 za lami ,Mji wote unaonekana Mpya 😂😂

Leta miji yenye watu wengi na shughuli nyingi kama Kahama,Geita ndio tulinganishe kama Barabara mitaani.
 
Sasa wewe CBD ya Mji wowote inakuwaga nzuri,nenda mitaani wanakoishi watu huko.

Kwani wewe hapo uhindindini uliwahi sikia wanalalamikia Barabara? Dual Carriage zipo kuanzia Singida,Bukoba Hadi Sumbawanga sio Kigoma tuu lakini sio big deal.

Hapo Mbeya wanajenga dual Carriage ndio itatatua shida ya Barabara huko mitaani?
Sijaongelea Kigoma CBD
Stesheni hadi Ujiji ni 7km
Stesheni hadi Stendi kuu ni 5km. Zote ni dual carriageway, zina streetlights na zimecover sehemu kubwa ya mji. Sio CBD, CBD ya Kigoma ni ndogo sana

Dual Carriage ikikamilika Mbeya itasaidia sana kuleta order along TANZAM Road. Sasa bado mitaani. Kama mkoa wenye mapato makubwa inabidi waanze at least kuweka 15km za lami mitaani kila mwaka hadi ziishe zote
 
Unaleta Vijiji badala ya Majiji? Hivyo Vijiji havina shughuli zozote za maana kiuchumi Wala muingiliano wa watu mkubwa na hata population Yao ni ndogo na vimiji vidogo.

Ukijenga km 3 za lami ,Mji wote unaonekana Mpya 😂😂

Leta miji yenye watu wengi na shughuli nyingi kama Kahama,Geita ndio tulinganishe kama Barabara mitaani.
Sasa Mbeya inaikuta kahama?mbeya level zake ndio hao akina Iringa,njombe sumbawanga etc.
 
Yani Dar kwa project za miundombinu inashindana na Nairobi, halafu unataka kufananisha na Mbeya?
Hizo project ndio zinafanyika Sasa hata Mbeya zimeanza kufanyika.

Swala ni kwamba hakuna Mji ambako miundombinu imetosha.

Ndio maana Prof.Muhongo aliwaambia hata Bajeti yote ya Nchi ipelekwe kwenye Barabara tuu Bado pesa hazitatosha kinachotakiwa ni kudhibiti ukuaji holela wa Miji na kutafuta njia mbadala ya kupata pesa za miundombinu
 
Haijalishi kama yupo sahihi au hayupo sahihi lakini natamani serikali ianze kufikiria hivyo, ili walete miradi ya maendeleo
Pamesahaulika sana, panakua kwa nguvu za wananchi bila mkono wa serikali
Kipaumbele kwa sasa wamepewa Dodoma, Zanzibar, Dar na Arusha kwingine tupa kule kwahiyo Mbeya, Mwanza, Tanga tuendelee kujipambania ila muhimu kudai serikali za majimbo haiwezekani kuendelea kukamua watu halafu badala ya kuwatengenezea miundombinu bora mnapeleka kuboresha sehemu nyingine​
 
Hicho kipaombele hakijaanza Leo kipo Toka uhuru ila saizi Dom imekuwa inguzo jipya na sababu inajukikana
 
Sijaongelea Kigoma CBD
Stesheni hadi Ujiji ni 7km
Stesheni hadi Stendi kuu ni 5km. Zote ni dual carriageway, zina streetlights na zimecover sehemu kubwa ya mji. Sio CBD, CBD ya Kigoma ni ndogo sana

Dual Carriage ikikamilika Mbeya itasaidia sana kuleta order along TANZAM Road. Sasa bado mitaani. Kama mkoa wenye mapato makubwa inabidi waanze at least kuweka 15km za lami mitaani kila mwaka hadi ziishe zote
Tunarudi kule kule inategemea hisani ya Wanasiasa,huko Kigoma kumetoka viongozi lukuki wakati Mbeya Kuna watu dizaini ya kina Mwambukusi unategemea nani ajenge miundombinu?

Mbeya hakuna Dual Carriage lakini Kuna Barabara za mitaani ambazo Zina zaidi ya hizo km na wewe unajua maana programu zilizojengwa hizo Barabara Kigoma ndio hizo hizo na Mbeya mfano ULGSP,Strategic Cities na Tactic ,tena Mbeya walipata km nyingi zaidi.

Ukubwa wa Mji na Wingi wa shughuli za uchumi unafanya Barabara hizo zimezwe fasta pamoja na kuchakaa.

Kigoma Barabara ziko wazi hakuna magari.
 
Bora hata Mbeya Ina nyumba za matope nikikuinesha vijumba vya mabanda ,mabati na majani ya migomba au tembe Dar,Arusha,Tanga na Mwanza utaita Jiji au sio Jiji?
Huwezi kutetea kijiji chako adi utaje Mwanza na Dar, nyie pambaneni na likijiji lenu.
 
We ni mjinga tu Mwanza unafaninisha na msukule wa mji
Mwanza na Mbeya hawachekani,Mwanza hakuna Barabara Bora hata Mbeya.

Shukuru Tamisemi siku hizi wameficha orodha ya miji yenye pesa nyingi nilitaka nikineshe Mbeya ilivyoizidi Mwanza 😂😂

Anyway Mbeya ni hii hapa 👇
IMG_20260730_073736_362.jpg
IMG_20260730_073443_605.jpg
IMG_20260729_185238_183.jpg
IMG_20260729_185509_191.jpg
IMG_20260614_080209_009.jpg
IMG_20260614_075602_785.jpg
IMG_20260614_075432_287.jpg
 
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.

Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.

Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.

Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.

Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.

Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.

View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==

My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.

Wewe leo hadi Ujampe Kenge wewe😂😂😂😂
 
Mwanza na Mbeya hawachekani,Mwanza hakuna Barabara Bora hata Mbeya.

Shukuru Tamisemi siku hizi wameficha orodha ya miji yenye pesa nyingi nilitaka nikineshe Mbeya ilivyoizidi Mwanza 😂😂

Anyway Mbeya ni hii hapa 👇 View attachment 3644001View attachment 3644002View attachment 3644003View attachment 3644004View attachment 3644005View attachment 3644006View attachment 3644007
Hivi ni kama vichekesho, mwambukusi ameshamaliza kila kitu.
 
Unajifariji eti,Washukuru Tamisemi nilitaka nikugonge na hii hapa 👇 👇
chunyadcdigital_1782870084090.jpg

Ujue waliona mnaaibika sana 😂😂
 
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.

Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.

Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.

Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.

Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.

Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.

View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==

My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.

Mwabukusi anakamilisha msemo wa wahenga kuwa " Mkataa kwao ni mtumwa"! Halafu cha kuchekesha huwa anaenda kugombea Ubunge huko huko anakokutukana. Wakiambiwa watu akina Mwabukusi Wana akili za nyumbu wanafikiri wametukanwa kumbe ndio ukweli!
 
Back
Top Bottom