Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Nani kakuambia ardhi ya huku haina poweder. Ardhi ni ileile kama ya Mwanjelwa na ukitembea still viatu vinashika vumbi lakini huwezi kuona vumbi linaleta kero kama Mwanjelwa. Shuka hadi stendi kote huko kumejaa powder lakini vumbi si issue kubwa kwa sababu ya barabaraHuko Matola na huku Mwanjelwa Ardhi ni sawa? Huoni ya huko Haina powder ? Vumbi itatoka wapi? Unadhani walikoseaga kuchagua upande huo kuweka CBD?