Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

Kwa umuhimu wa Dar.

Kwani Mbeya hawajengi Barabara Zenye street lights au claed drainage? Hakuna side walks nikuoneshe?
Yani unioneshe nini ambacho sijaona na nipo Mbeya.
Maeneo mengi Mbeya miundombinu ni bado sana. Ni shughuli za kiuchumi za wakazi ndio zinakua ila miundombinu big no
 
Uzushi gani, kwamba mbeya ni nguvu watu kufika na kuishi na kujionea tofauti na majiji mengine kama dar, arusha na mwanza?
Hakuna utofauti wowote wa maana na Majiji mengine.

Ni Jiji gani hapa Tanzania hawalilii Barabara? Nachojua watu wanalalamika vumbi Kwa Mbeya Sasa vumbi haliwezi kuisha Kwa sababu ya aina ya udongo hata Uweke lami Kila Mlango wa nyumba .

Mathalan Dar mvua ilinyesha tuu Mji wote una paralyse Kwa sababu hakuna Barabara za maana,mashiko.kila sehemu na mauchafu .
 
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.

Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye Kila kitu anapinga Hadi Sasa Anatukana kwao,huu ni ugonjwa sio kawaida.

Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba Yuko out of date na hana takwimu Wala data za kusema Mbeya ambayo ni kitovu Cha Uchumi wa Nyanda za Juu Kusini na Mkoa namba 3 Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania nzima eti hauna mzunguko.

Mzunguko upi anaouzungumzia Mwambukusi? Mbeya ni kati ya Mikoa 4 ambayo wakazi wake Wana stable income Kwa mujibu wa takwimu Rasmi.

Aisha Mbeya ni kati ya Mikoa 10 inayoingiza mapato mengi TRA.Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa dhahabu ambapo soko lake kule Chunya linaongoza Tanzania Kwa mauzo na Mapato.

Suala la miundombinu ni Changamoto ya miji yote Tanzania ikiwemo huko huko Dar anakoshinda ,lakini pia ujenzi unaendelea na mwingine umesgafanyika wa Barabara za mitaani ila Mwambukusi hafahamu zaidi ya kuponda.

View: https://www.instagram.com/p/Dbqs4ZWlow0/?igsh=MTZxcHlzazM3ZDhwdQ==

My Take
Mwambukusi anatakiwa kuelewa kwamba takribani Kila business entity iliyoko Dar pia Ina Tawi Mbeya ,kungekuwa hakuna huo mzunguko hakuna matawi ya biashara yangefunguliwa Mbeya.

Umeguswa kwenu kumetajwa siyo? Ni ukweli Mbeya ni pa hovyo, hiyo namba 3 we umeitoa wapi, Mwabukusi anazungumzia jiji la Mbeya we Chunya umeenda kufanya nini? Mbeya haistahili kuwa jiji
 
Yani unioneshe nini ambacho sijaona na nipo Mbeya.
Maeneo mengi Mbeya miundombinu ni bado sana. Ni shughuli za kiuchumi za wakazi ndio zinakua ila miundombinu big no
Swali ni Je Mji gani ambao miundombinu inatosha hapa Tanzania?

Kwanza kilio kikubwa Cha watu wa Mbeya ni vumbi,Kwa udongo wa Mbeya ukijenga lami ndio vumbi litaisha?
 
Hakuna utofauti wowote wa maana na Majiji mengine.

Ni Jiji gani hapa Tanzania hawalilii Barabara? Nachojua watu wanalalamika vumbi Kwa Mbeya Sasa vumbi haliwezi kuisha Kwa sababu ya aina ya udongo hata Uweke lami Kila Mlango wa nyumba .

Mathalan Dar mvua ilinyesha tuu Mji wote una paralyse Kwa sababu hakuna Barabara za maana,mashiko.kila sehemu na mauchafu .
Kwa nini unahisi wengi waosema mbeya hapastahili wanakosea?
 
Hakuna utofauti wowote wa maana na Majiji mengine.

Ni Jiji gani hapa Tanzania hawalilii Barabara? Nachojua watu wanalalamika vumbi Kwa Mbeya Sasa vumbi haliwezi kuisha Kwa sababu ya aina ya udongo hata Uweke lami Kila Mlango wa nyumba .

Mathalan Dar mvua ilinyesha tuu Mji wote una paralyse Kwa sababu hakuna Barabara za maana,mashiko.kila sehemu na mauchafu .
Una uhakika na unachokisema?
Mbona huku ni Mbeya na hakuna vumbi. Yote hii ili kuhalalisha kutoweka miundombinu
PXL_20260729_130454665.jpg
PXL_20260729_124805095.MP.jpg
PXL_20260805_125108691.jpg
PXL_20260729_124912765.jpg
PXL_20260729_124531350.jpg

Halafu unapolinganisha na Dar, at least Dar unaona kuna nguvu kubwa sana kuimprove infrastructure, Dar ni vile inakua kwa kasi sana so inakuwa ngumu kukeep up na maendeleo ila Dar serikali sasahivi inajitahidi kuweka miundombinu. Huku Mbeya hizo effort hazionekani. Kama tu barabara ya TANZAM wameanza muda mrefu kuipanua hadi leo hatuoni dalili za kukamilika
 
Back
Top Bottom