Una uhakika na unachokisema?
Mbona huku ni Mbeya na hakuna vumbi. Yote hii ili kuhalalisha kutoweka miundombinu
View attachment 3643981View attachment 3643982View attachment 3643980View attachment 3643983View attachment 3643984
Halafu unapolinganisha na Dar, at least Dar unaona kuna nguvu kubwa sana kuimprove infrastructure, Dar ni vile inakua kwa kasi sana so inakuwa ngumu kukeep up na maendeleo ila Dar serikali sasahivi inajitahidi kuweka miundombinu. Huku Mbeya hizo effort hazionekani. Kama tu barabara ya TANZAM wameanza muda mrefu kuipanua hadi leo hatuoni dalili za kukamilika