Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Mbeya ina deserve miradi mingi zaidi. Hivi umeona Dar sasahivi? Kila sehemu ni ujenzi wa barabara, nyingine zinakuwa renewed, wanaweka hadi sidewalks Dsm, angalia video za BertinKwani hakuna miradi? Hakuna Barabara kuu na za mitaani zinazoendelea na Ujenzi? 👇👇View attachment 3643950
Stendi kuu ,masoko ,Viwanja vya mpira vya kisasa no vyote vinajengwa.
Mbeya ndio ilipaswa iwe hivyo. Naongelea ndani ya jiji. Ilipaswa kuwe na ujenzi massive wa mtandao wa lami kila kona ya jiji na barabara zilizochoka ziwe renewed, na waweke sidewalks na proper drainage system kama Dar, nimeona maeneo mengi ambayo recently wameweka closed drainage system, miradi kama hiyi na hapa Mbeya inahitajika
Halafu upande wa mazingira inabidi waanze upandaji wa miti, yani urbanisation inavyoongezeka Mbeya watu wanakata miti hovyo sana. Jiji litapoteza status ya Green City