Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
 
Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Chinembe unachekesha unajipinga mwenyewe
Unasema maamuzi ni yake huku unakataa maamuzi ni ya council

Anyway binadamu siyo robot atabadilika kulingana na mazingira

Mawakili tutampa kura
 
Cinembe unachekesha unapinga mwenyewe
Unasemema maamuzi ni yake huku inakataa maamuzi ni ya council

Anyway binadamu siyo robot atabadika kulingana na mazingira

Mawakili tutampa kura
Labda wale mawakili vijana, wa Heche, msiokuwa na ofisi, mnatembea na mabegi ya laptop kwenye starlet na simu zisizoisha chaji, tayari kukimbia popote mnapoitwa, Ambulance Lawyers
 
TLS ishaongozwa na Tundu Lissu, ishaongozwa na Fatma Karume, hawa wote ni wana harakati kama alivyo Mwabukusi, kama ambavyo wao waliongoza ndivyo hivyo Mwabukusi ataongoza, hakutakuwa na jipya la ziada. Africa shida ni mifumo na sio viongozi, mifumo ni swala mtambuka, haliishii TLS pekee, kwamba hapo TLS wanategemea mifumo ya kimahakama na kipolisi ikae sawa ili na wao waweze timiza majukumu yao ipasavyo.

Ikirekebishwa mifumo ya TLS pekee basi kila siku wanasheria watakuwa wanalumbana na mahakama na polisi.

Ishatokea Kenya, alipewa Pro Lumumba uwaziri na Kenyata, ila hata leo nahisi kabisa angejua anapoingizwa kuko vipi angakataa huo uteuzi.
 
Back
Top Bottom