Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Mnaumia huyo ndo Rais wa TLS
Lakini hawezi kwenda Mahakamani bila kuwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, na Mwanasheria Mkuu anaweza kupeleka mabadiliko ya sheria yakampiga pini Mwabukusi
 
Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Kwa kauli hizi tunaamini atayempinga mwambukusi ni fisadi

swala la yeye kuwa tishio kwa majizi na mafisadi huwezi kupongeza?
Au wewe unaunga uko upande wa ufisadi??
 
Kwa kauli hizi tunaamini atayempinga mwambukusi ni fisadi

swala la yeye kuwa tishio kwa majizi na mafisadi huwezi kupongeza?
Au wewe unaunga uko upande wa ufisadi??
Sasa mbona hata NCCR alifukuzwa kama mbwa kwa usaliti, alikuwa anauza siri za chama kwa CCM
 
TLS inazidiwa sana hata na NGOS nyingi. Huwezi linganisha LHRC na TLS. LHRC wanaonekana wanatetea wananchi kuliko TLS. Mleteni huyu mwamba Mwabukusi labda Ataleta kitu Cha maana TLS.
 
Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Vua hii fake ID uongee kwa sauti haya unayosema..it will make sense, vinginevyo legeza mapumbu subiri uchaguzi upite uendeleze umbea km mwanamke!
 
Ambaye hana mihemuko, akichaguliwa, T.L.S itakuwa ni wing ya chadema, kwa hiyo, in all fours, itashambuliwa na haitapewa ushirikiano, coz inatumika kisiasa
Kuhonga vyeo mawakili si kutumika kisiasa?
 
Vua hii fake ID uongee kwa sauti haya unayosema..it will make sense, vinginevyo legeza mapumbu subiri uchaguzi upite uendeleze umbea km mwanamke!
Una hamu ya kusafishiwa mtaro wako!?
 
Back
Top Bottom