Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

Sasa Mwabukusi unamlinganisha na Lissu? Mwabukusi cha pombe, yuko tayari hata ajikatae akishalewa, anasema mimi sio Mwabukusi.
Nilikuwa majibu hoja yako kuwa itakuwa Wing ya CHADEMA! Lissu CHADEMA, mwabukusi CHADEMA.

Kuhusu pombe sio issue, tuna Kiongozi flani mwenye cheo flani wa kike jina simtaji anavuta bangi na anakunywa Konyagi bapa, hapa unasemaje??
 
Asiye kunywa pombe ni Nani katika wale apigiwe Kura
Tatizo Mwabukusi, kwa kilauri aliyokunywa, ni semi trela kadhaa za brewries, hata kama akikaa juani dakika kumi zinaumuka, analewa tena. Hata akiwa anaongea, unaona kama amelewa bado
 
Sasa Mwabukusi unamlinganisha na Lissu? Mwabukusi cha pombe, yuko tayari hata ajikatae akishalewa, anasema mimi sio Mwabukusi.
Huna hoja ndo maana unaangaika na maisha binafsi ya mtu.mambo yake ya pombe yanakuhusu nini wewe?.Akichaguliwa wajibu na majukumu yake atayakuta kwenye job discription mengine ni maisha yake binafsi ambayo hayatuhusu.
 
Nilikuwa majibu hoja yako kuwa itakuwa Wing ya CHADEMA! Lissu CHADEMA, mwabukusi CHADEMA.

Kuhusu pombe sio issue, tuna Kiongozi flani mwenye cheo flani wa kike jina simtaji anavuta bangi na anakunywa Konyagi bapa, hapa unasemaje??
Kama huyo kiongozi wa kike ni yule wa chadema, sishangai,maana hata mimi namfahamu, na ninajua anavuta na kupiga bapa muda mrefu
 
Huna hoja ndo maana unaangaika na maisha binafsi ya mtu.mambo yake ya pombe yanakuhusu nini wewe?.Akichaguliwa wajibu na majukumu yake atayakuta kwenye job discription mengine ni maisha yake binafsi ambayo hayatuhusu.
Ukiwa kiongozi wa umma, kuna tofauti ndogo kati ya maisha yako, na utumishi wako, utofauti huo ni sawa na wembamba wa uzi wa buibui
 
Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Shahawa zilizoharibika.
Ukipata vijana wa hivyo kama wewe 200 ndani ya taifa basi ni hasara kubwa
 
Shahawa zilizoharibika.
Ukipata vijana wa hivyo kama wewe 200 ndani ya taifa basi ni hasara kubwa
Inaonekana mzee wako akiwa na mama yako, alianzia kwenye mtaro, baadae akaweka sehemu sahihi ndio ikatungwa ukazaliwa
 
Ambaye hana mihemuko, akichaguliwa, T.L.S itakuwa ni wing ya chadema, kwa hiyo, in all fours, itashambuliwa na haitapewa ushirikiano, coz inatumika kisiasa
Wewe hutaki atumike na Chadema, ila unataka atumuke na ccm?
 
Labda wale mawakili vijana, wa Heche, msiokuwa na ofisi, mnatembea na mabegi ya laptop kwenye starlet na simu zisizoisha chaji, tayari kukimbia popote mnapoitwa, Ambulance Lawyers
Daaah hili povu kisa una ofisi wabongo bhana mna dharau sana...
 
nobody in Tanzania likes dissenters. We are actually happy being oppressed, and lied to constantly.. we like the order of things, quiet and docile. Wakitokea watu pinzani tunawaita wapiga kelele kwasababu we are not comfortable. ananchi We have Stockholm Syndrome and our captors are sisiemu
 
Wewe hutaki atumike na Chadema, ila unataka atumuke na ccm?
Atumike na T.L.S, T.L.S sio hired goon, he can not use T.L.S to wage a proxy war, T.L.S is not a mercenary force
 
Mawakili wazuri watumike kuishauri Serikali sio kama sasa kila kukicha unasikia Serikali imeilipa sijui kampuni gani kama vile Nchi haina Mawakili kabisaa wanaoingia mikataba na kuifuta hakuna kitu wanajua kuhusu sheria...
 
Atumike na T.L.S, T.L.S sio hired goon, he can not use T.L.S to wage a proxy war, T.L.S is not a mercenary force
Kwani nini hasa kwa kuanzishwa TLS na nini msingi wake na wanasimamia kipi hasawa..?
 
Huyu jamaa ni mmoja ya Wasomi wachache sana na wanaojitambua aisee...
 
Kwani zimepita awamu ngapi za serikali!!??
Kila moja si imefanya yake ikapita!!??
Kama hatuwezi kuonana chochote kinachofanywa na awamu yoyote ya uongozi,basi tu maiti.
Swala sio kufanya, imefanya nini na kwa muda gani, lazima ulinganishe na kitu kingine, jaribu kutengeneza graph ya maendeleo yetu vs muda. Je wale tuliokuwa nao sawa miaka ya 60, bado tupo nao sawa, kama wametuzidi ni kwanini, basi maana yake sisi hatujapiga hatua kubwa ya kujisifia.. Taifa lina bandari, mbuga za wanyama, madini mbalimbali, gesi, vitu chungu mzima lakini tunazidiwa na watu hawana hata robo ya tulivyonavyo.
 
Kwani majukumu ya Tls ni yapi?.Mimi najua wana taratibu na miongozo yao.Kinachohitajika ni wao kupata kiongozi atakayezisimamia hizo taratibu kwa weledi.
Sasa kwanini watu wafurahie saana utafikiri ndio mwarobaini ya matatizo yote ya tanzania!!!!!?
 
Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Mnaumia huyo ndo Rais wa TLS
 
Back
Top Bottom