Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Nilikuwa majibu hoja yako kuwa itakuwa Wing ya CHADEMA! Lissu CHADEMA, mwabukusi CHADEMA.Sasa Mwabukusi unamlinganisha na Lissu? Mwabukusi cha pombe, yuko tayari hata ajikatae akishalewa, anasema mimi sio Mwabukusi.
Tatizo Mwabukusi, kwa kilauri aliyokunywa, ni semi trela kadhaa za brewries, hata kama akikaa juani dakika kumi zinaumuka, analewa tena. Hata akiwa anaongea, unaona kama amelewa badoAsiye kunywa pombe ni Nani katika wale apigiwe Kura
Huna hoja ndo maana unaangaika na maisha binafsi ya mtu.mambo yake ya pombe yanakuhusu nini wewe?.Akichaguliwa wajibu na majukumu yake atayakuta kwenye job discription mengine ni maisha yake binafsi ambayo hayatuhusu.Sasa Mwabukusi unamlinganisha na Lissu? Mwabukusi cha pombe, yuko tayari hata ajikatae akishalewa, anasema mimi sio Mwabukusi.
Kama huyo kiongozi wa kike ni yule wa chadema, sishangai,maana hata mimi namfahamu, na ninajua anavuta na kupiga bapa muda mrefuNilikuwa majibu hoja yako kuwa itakuwa Wing ya CHADEMA! Lissu CHADEMA, mwabukusi CHADEMA.
Kuhusu pombe sio issue, tuna Kiongozi flani mwenye cheo flani wa kike jina simtaji anavuta bangi na anakunywa Konyagi bapa, hapa unasemaje??
Yule raisi anayemaliza muda wake akiitwa harodi sungusia nilimwona pale Dodoma Ikulu anakata kiuno kwa midundo ya watawala, akapewana hati ya kiwanja
Ukiwa kiongozi wa umma, kuna tofauti ndogo kati ya maisha yako, na utumishi wako, utofauti huo ni sawa na wembamba wa uzi wa buibuiHuna hoja ndo maana unaangaika na maisha binafsi ya mtu.mambo yake ya pombe yanakuhusu nini wewe?.Akichaguliwa wajibu na majukumu yake atayakuta kwenye job discription mengine ni maisha yake binafsi ambayo hayatuhusu.
Shahawa zilizoharibika.Hamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea
Inaonekana mzee wako akiwa na mama yako, alianzia kwenye mtaro, baadae akaweka sehemu sahihi ndio ikatungwa ukazaliwaShahawa zilizoharibika.
Ukipata vijana wa hivyo kama wewe 200 ndani ya taifa basi ni hasara kubwa
Wewe hutaki atumike na Chadema, ila unataka atumuke na ccm?Ambaye hana mihemuko, akichaguliwa, T.L.S itakuwa ni wing ya chadema, kwa hiyo, in all fours, itashambuliwa na haitapewa ushirikiano, coz inatumika kisiasa
Daaah hili povu kisa una ofisi wabongo bhana mna dharau sana...Labda wale mawakili vijana, wa Heche, msiokuwa na ofisi, mnatembea na mabegi ya laptop kwenye starlet na simu zisizoisha chaji, tayari kukimbia popote mnapoitwa, Ambulance Lawyers
Atumike na T.L.S, T.L.S sio hired goon, he can not use T.L.S to wage a proxy war, T.L.S is not a mercenary forceWewe hutaki atumike na Chadema, ila unataka atumuke na ccm?
Kwani nini hasa kwa kuanzishwa TLS na nini msingi wake na wanasimamia kipi hasawa..?Atumike na T.L.S, T.L.S sio hired goon, he can not use T.L.S to wage a proxy war, T.L.S is not a mercenary force
nani asiyejuwa kuwa huyo ni chawa na TISS?Captain Ibrahim Bendera, a settled legal mind with vast experience
Swala sio kufanya, imefanya nini na kwa muda gani, lazima ulinganishe na kitu kingine, jaribu kutengeneza graph ya maendeleo yetu vs muda. Je wale tuliokuwa nao sawa miaka ya 60, bado tupo nao sawa, kama wametuzidi ni kwanini, basi maana yake sisi hatujapiga hatua kubwa ya kujisifia.. Taifa lina bandari, mbuga za wanyama, madini mbalimbali, gesi, vitu chungu mzima lakini tunazidiwa na watu hawana hata robo ya tulivyonavyo.Kwani zimepita awamu ngapi za serikali!!??
Kila moja si imefanya yake ikapita!!??
Kama hatuwezi kuonana chochote kinachofanywa na awamu yoyote ya uongozi,basi tu maiti.
Sasa kwanini watu wafurahie saana utafikiri ndio mwarobaini ya matatizo yote ya tanzania!!!!!?Kwani majukumu ya Tls ni yapi?.Mimi najua wana taratibu na miongozo yao.Kinachohitajika ni wao kupata kiongozi atakayezisimamia hizo taratibu kwa weledi.
Mnaumia huyo ndo Rais wa TLSHamna kitu hapo, hataimudu proffessional association, and, on top of that, hatakuwa na maamuzi binafsi, maamuzi ni ya Governing Council ya T.L.S, wanaweza kumgomea