Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

Mwabukusi analewa mpaka anabebwa mbeya carnival pale, huyu ni mlevi

Boramlevi mwenye maono na uelewa kuliko watu wenye PhD wasioweza kupambanua jema na baya katika mkataba uliofanywa.
 
🤣🤣🤣🤣Wewe mwabukusi wewe ngoja wazee wa bahasha!!
 
Hayo maneno yake kama ndiyo kweli kasema hivyo, anaonesha ni mtu wa hovyo hata akitupiwa Simba hamli huyo.

Hyo ni najisi tu. Hiyo ni zaidi ya "gutter politics".


Kwa siasa hiyo ndiyo watu waifate chadema?

Mnanchekesha.
Mzee wa payroll ya DP world umepigwa kweny kipele!!
 
Tupate wapi watu kama hawa watano tu, wasomi wanao utendea haki usomi wao sio kama wale ma profs na Dr. wa kijani.
 
Kama walevi wanakuwa hivi, basi tuwe na walevi wengi. Lakini tusiwe na punguani hata mmoja, kama ulivyo wewe.
Na serikali yake ya chama cha mafisi.
 
Ulevi wake unadhuru nini huduma anayotoa. Acha atumie fedha zake acha wivu na siasa mfuu
Biblia ishasema huyi ni nani:

4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
 
Mpuuzi tu huyu Mwabukusi. Umesainiwa mkataba wa bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania, alishawahi kuuona na kuusoma?.

Ilisainiwa mikataba ya ushirikiano kati ya nchi zote zinazopokea ndege zetu huko kwao kabla hata ndege hizi hazijanunuliwa, huyo mwanasheria alishawahi kuiona inafanana vipi?.

Anatafuta kushambuliwa na watu wa mfumo ili umaarufu wake uongezeke, lakini hakuna hata mmoja atakayemgusa.

Serikali itaendelea na mipango yake ya kuingia mikataba ya Consession na Lease kama ilivyojipangia. Wapuuzi kama huyo wakili wapo duniani pote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…