Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.
Kuna comment Yako kwenye Uzi wa Pasco kumhusu Mpango,

Umecomment kuwa "Sa100 anafiti uceo Hadi 2030".

Nawe ni CDM au wale wale!!
 
Umecomment kuwa "Sa100 anafiti uceo Hadi 2030".
Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani,na kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.

Ninaamini wanaosukuma ajenda za Mpango ni Magufulist ndani ya CCM.
 
Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.

CHADEMA wamekanusha hilo rasmi wapii, tujiridhishe kama vipi niuhuishe uzi?
 
Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.

Ninaamini wanaosukuma ajenda za Mpango ni Magufulist ndani ya CCM.
KAZI IPO!!

Umeona Dira na maono yoyote applicable kwenye hizo 4R?

Wananchi hatupendi mfumo wa upigaji wa raslimali za umma Kwa mwamvuli wa DEMOKRASIA!!
 
KAZI IPO!!

Umeona Dira na maono yoyote applicable kwenye hizo 4R?

Wananchi hatupendi mfumo wa upigaji wa raslimali za umma Kwa mwamvuli wa DEMOKRASIA!!
Sisi Wapinzani tumetoka kuwindwa kama Digidigi mpaka muda huu ambao tunaongea kwenye majukwaa angalao kwa uhuru.

Kwa huyu Maza kunaonekana kuna HOPE japo ya kindakindaki😁
 
Mpango anaweza kututawala kama Nkurunziza.
 
Sisi Wapinzani tumetoka kuwindwa kama Digidigi mpaka muda huu ambao tunaongea kwenye majukwaa angalao kwa uhuru.

Kwa huyu Maza kunaonekana kuna HOPE japo ya kindakindaki😁
Kwamba unapingana na Lisu kuwa halipo hata moja CDM walopendekeza lililotimizwa ktk maridhiano?
 
Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.

Ninaamini wanaosukuma ajenda za Mpango ni Magufulist ndani ya CCM.

Kwa lugha mtaani vijana wanasema hapa: "huku si ndiko kufikia bei sasa?"

Kwa hiyo ndugu:

Hili ni rasmi sasa?

Ila taabu yetu na katiba si kwenye uchaguzi tu. Yako mengi mle. Humo nako ndiyo basi tena mpaka yale mafunzo ya digirii ya miaka 3?
 
Uwe unaingia CLUB HOUSE kupata Madini na hilo limethibitushwa na S.W wenyewe.

Bando shida ndugu yangu. Ndiyo maana kwa moyo mweupe - kuuliza si ujinga.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
CCCm imefanikiwa kupoteza karibia Mwaka mzima, Mbowe alipowekwa gerezani, jumlisha mwaka nzima wa waridhiano ni karibia miaka miwili sasa.

Maandamano ni njia sahihi kureplace muda uliopotea kuamsha hamasa ya watu kujihususha na siasa.

Mwabukusi na co waungwe mkono.
 
Alikuambia anatafuta kupigiwa kura?
 
Tuko upande sahihi wa historia ..
 
Shida ya CHADEMA wanawaza kupigiwa kura badala ya kutetea masilahi ya nchi.
Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi.

Lakini sio kuwa Pressure Group na kudandia matukio na kukimbizana Mgambo.
 
Ungeweka la CV Ili tukikunukuu japo tuwe na uhakika na weledi wako bas ndugui?
CV yangu ni Dereva wa Lori kutokea 1994. Leseni yangu niliipatia Mombasa.
 
Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi.

Lakini sio kuwa Pressure Group na kudandia matukio na kukimbizana Mgambo.
"Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi." Unafikiria backwards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…