Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Kweli ni muhimu mara nyingi siyo kosa lenu mmekuwa hivyo ni jamii kwa ujumla tulifeli. Enjoy haki yako ya kidemokrasia kama ambavyo Mwabukusi anavyostahili kupewa haki zake za kidemokrasia ambazo CCM wanamnyima.Ndio raha ya Wanademokrasia
kwa sentensi hii, nakuacha na wenzako!Akienda chadema atapoteza hata fikia malengo yake Kama Akina tundu risu pale chadema ccm Wana mkono wao
Tutawaalika "Sauti ya Wana" kwenye CHADEMA Oparesheni +255 Kanda ya Nyasa.Kweli ni muhimu mara nyingi siyo kosa lenu mmekuwa hivyo ni jamii kwa ujumla tulifeli. Enjoy haki yako ya kidemokrasia kama ambavyo Mwabukusi anavyostahili kupewa haki zake za kidemokrasia ambazo CCM wanamnyima.
Unamaanisha Mwabukusi& co kamwe hawawezi kupata support ya nguvu ya Umma Hadi wasajili kwanza political party?Usilinganishe mambo ya wafanyabiashara na kodi na MOVEMENT ya kuiondoa serikali madarakani (KWA NJIA ZA KISHERIA) . YOU WILL BE CONFRONTED ACORDINGLY WHEN YOU ARE SINGLE. Lakini kama mko wengi kwenye legally established movement kama chama cha siasa, mtaitikisa serikali na kukubali katiba mpya/tume huru!
Think deep! Ndiyo maana nimesema shallow thinking!
CV yangu ni Dereva wa Lori kutokea 1994. Leseni yangu niliipatia Mombasa.
Good move. Hamwezi kushindwa mkisaidiana kwenye agenda zenye manufaa kwa wananchi.Tutawaalika "Sauti ya Wana" kwenye CHADEMA Oparesheni +255 Kanda ya Nyasa.
nani kaudanganya kuwa Mwabukusi et al hawako peke yao? au wanakundi nyuma yao?Nani kakudanganya Mwabukusi ,Slaa nk nk wako pekeao?
Narudia, inabidi kuunganisha nguvu makundi yote na si kupingana kama Mwabukus et al anavyofanya malumbano na chadema. Tunaipa CCM advantage tukinza kulumbana wenyewe kwa wenyewe....
Demokrasia si" zidumu fikra za Makamu Mwenyekiti fulani" kama kule kwa Wakomunisti.Sasa huoni kutegemea kunukuliwa wewe UN huko, dhidi ya huyo nguli ni kuweka ugumu usiokuwa na sababu ndugu?
Au wewe huoni hivyo?
sijakuelewa, suluhu ipi? na nani?kutafuta suluhu kipaumbele?
Wanaoshangiliaga Huwa wanaelewa wanachoshangilia lakini?Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."
Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.
"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."
Hii ni dibaji tu:
View attachment 2776199
"Yaani mwanzo wa ngoma .."
Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.
Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:
View attachment 2776201
"Tunajenga nyumba moja."
Aluta continua!
Demokrasia si" zidumu fikra za Makamu Mwenyekiti fulani" kama kule kwa Wakomunisti.
Futa hiyo kauli kwanza ndio tuendee na Mada.Kujilinganisha na Lissu ni kutaka kutojitendea haki wewe mwenyewe.
Futa hiyo kauli kwanza ndio tuendee na Mada.
Raisi wa sasa wa Venezuela Ernest Maduro alukuwa ni Dereva kama mimi.
Ni HAKI ya Kikatiba.
Wanaoshangiliaga Huwa wanaelewa wanachoshangilia lakini?
Hawa wanashangilia vurugu nothing elseUna maana na wale wanaowashangilia CCM pia? Au ukifika hapo Huwa unapata ka seizure (degedege) kidogo?
Mwenyekiti wetu "Mwamba" Mbowe hana PhD na mapambano bado yanaendelea.Tofautisha kunukuliwa na kuwa Rais.
Kwa mabeberu huku rais au mbunge anakuwaje Profesa au Ph.D? Hata askofu Rashid alilitamka hilo hadharani.
Ninachoongea si Kwa maana finyu kama yako.
Ndiyo maana tunataka katiba mpya wasomi warudi lab wakabuni maroboti na 10G huko!
Ila wa CCM wana shangilia masera yaliyoshiba siyo?Hawa wanashangilia vurugu nothing else
MaendeleoIla wa CCM wana shangilia masera yaliyoshiba siyo?