Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Ndio raha ya Wanademokrasia
Kweli ni muhimu mara nyingi siyo kosa lenu mmekuwa hivyo ni jamii kwa ujumla tulifeli. Enjoy haki yako ya kidemokrasia kama ambavyo Mwabukusi anavyostahili kupewa haki zake za kidemokrasia ambazo CCM wanamnyima.
 
Tutawaalika "Sauti ya Wana" kwenye CHADEMA Oparesheni +255 Kanda ya Nyasa.
 
Usilinganishe mambo ya wafanyabiashara na kodi na MOVEMENT ya kuiondoa serikali madarakani (KWA NJIA ZA KISHERIA) . YOU WILL BE CONFRONTED ACORDINGLY WHEN YOU ARE SINGLE. Lakini kama mko wengi kwenye legally established movement kama chama cha siasa, mtaitikisa serikali na kukubali katiba mpya/tume huru!
Think deep! Ndiyo maana nimesema shallow thinking!
Unamaanisha Mwabukusi& co kamwe hawawezi kupata support ya nguvu ya Umma Hadi wasajili kwanza political party?

Kama Muungano ndo njia sahihi, Sugu aungalishe nguvu na wao sababu Wana goal moja?

Nani kakudanganya Mwabukusi ,Slaa nk nk wako pekeao?
 
CV yangu ni Dereva wa Lori kutokea 1994. Leseni yangu niliipatia Mombasa.

Sasa huoni kutegemea kunukuliwa wewe UN huko, dhidi ya huyo nguli ni kuweka ugumu usiokuwa na sababu ndugu?

Au wewe huoni hivyo?
 
Mbowe anaweza kuwa kikwazo chake no1 kuingia kwenye ulimwengu was siasa

Najaribu kumtafakari mbowe namwona Kama Ana kasura ka ukiranja frani kutoka utawara
 
Narudia, inabidi kuunganisha nguvu makundi yote na si kupingana kama Mwabukus et al anavyofanya malumbano na chadema. Tunaipa CCM advantage tukinza kulumbana wenyewe kwa wenyewe....

Kwanini kama unaona kuunganisha nguvu ni jambo la muhimu (kama ambavyo kila mtu anaona), hauoni umuhimu wa kujikita kwenye kutafuta suluhu, kama kipaumbele?
 
Sasa huoni kutegemea kunukuliwa wewe UN huko, dhidi ya huyo nguli ni kuweka ugumu usiokuwa na sababu ndugu?

Au wewe huoni hivyo?
Demokrasia si" zidumu fikra za Makamu Mwenyekiti fulani" kama kule kwa Wakomunisti.
 
Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."

Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.

"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."

Hii ni dibaji tu:

View attachment 2776199

"Yaani mwanzo wa ngoma .."

Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.

Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:

View attachment 2776201

"Tunajenga nyumba moja."

Aluta continua!
Wanaoshangiliaga Huwa wanaelewa wanachoshangilia lakini?
 
Demokrasia si" zidumu fikra za Makamu Mwenyekiti fulani" kama kule kwa Wakomunisti.

Kujilinganisha na Lissu ni kutaka kutojitendea haki wewe mwenyewe. Ndiyo maana UN huko kuna kura ya veto ndugu:

"Kura ya Burundi haiwezi kuwa sawa na kura za China, Russia au hata Ufaransa."

Trump akiziita nchi aina ya Burundi lile jina lake pendwa ..

Uzi huu (Aug 21, 2022 huko) uliyatambua hayo:

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Vipi jina laka linasogea sogea humo? Waswahili wanasema, usiige k*nya kwa tembo ..

Kutambua level za watu ni ustaarabu binafsi usingije kuambiwa.

"Huku siyo ukoo wa kambale."
 
Kujilinganisha na Lissu ni kutaka kutojitendea haki wewe mwenyewe.
Futa hiyo kauli kwanza ndio tuendee na Mada.

Raisi wa sasa wa Venezuela Ernest Maduro alukuwa ni Dereva kama mimi.

Ni HAKI ya Kikatiba.
 
Futa hiyo kauli kwanza ndio tuendee na Mada.

Raisi wa sasa wa Venezuela Ernest Maduro alukuwa ni Dereva kama mimi.

Ni HAKI ya Kikatiba.

Tofautisha kunukuliwa na kuwa Rais.

Kwa mabeberu huku rais au mbunge anakuwaje Profesa au Ph.D? Hata askofu Rashid alilitamka hilo hadharani.

Ninachoongea si Kwa maana finyu kama yako.

Ndiyo maana tunataka katiba mpya wasomi warudi lab wakabuni maroboti na 10G huko!
 
Mwenyekiti wetu "Mwamba" Mbowe hana PhD na mapambano bado yanaendelea.
 
Back
Top Bottom