Issue ya Dkt. Slaa kufanya haya kisa ubalozi haina mashiko kabisa na ni pumba ya kupuuzwa, maana hata wakati wanafanya mkutano wao wa kwanza pale Buliaga Temeke, aliweka wazi kuwa issue ni maslahi ya nchi na sio title kama issue ni ubalozi basi wauchukue, na ndicho kilichotokeaThinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
sijakuelewa, suluhu ipi? na nani?
Baada ya Dr. Slaa kukamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kufanya kusanyiko lisilo halali, Adv.Mwabukusi amepata wito wa barua wa polisi kwenda kujibu tuhuma za namna hiyohiyo. Tumekubaliana kwamba dr. Slaa hatutamuwekea dhamana wakae naye na badala yake tunawashtaki mahakamaniView attachment 2776813
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo
..Maandamano ya wanaharakati yaendelee.
..Mikutano ya Chadema nayo iendelee.
..pia kusiwepo lugha za kukwazana kati ya wanaharakati na Chadema.
..makundi hayo mawili yawe makini yasichonganishwe na kupelekea kuhasimiana.
Nimesema hivyo mara zote kuwa mwabukusi ajiepushe kugongana/kulaumu/kuwazodoa chadema. haimsaidii, HATA KAMA ALIKUWA MWANACHAMA AKAONDOKA ,KAMA SLAA), huu sio wakati wa kuingiza tofauti za nyuma. "Adui" ni mmoja, tumkabiri wote kwa pamoja. Mwabukusi kwa hilo namdharau/namkemea sana!..Maandamano ya wanaharakati yaendelee.
..Mikutano ya Chadema nayo iendelee.
..pia kusiwepo lugha za kukwazana kati ya wanaharakati na Chadema.
..makundi hayo mawili yawe makini yasichonganishwe na kupelekea kuhasimiana.
Basi weka identity yako ya kweli....... au bado tu waoga? Utaizuia risasi kama unaogopa kujlikana? bado tuna safari ndefuBasi kaeni hapo hapo tena kwa kutulia. Tunaijua ile lugha ambayo itawafanya mtambue kumbe wa kwetu wanashangilia nini.
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Tukutane Tahrir mwisho wa lami.
Mbona tutaelewana tu?
Nimesema hivyo mara zote kuwa mwabukusi ajiepushe kugongana/kulaumu/kuwazodoa chadema. haimsaidii, HATA KAMA ALIKUWA MWANACHAMA AKAONDOKA ,KAMA SLAA), huu sio wakati wa kuingiza tofauti za nyuma. "Adui" ni mmoja, tumkabiri wote kwa pamoja. Mwabukusi kwa hilo namdharau/namkemea sana!
Kwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?Issue ya Dkt. Slaa kufanya haya kisa ubalozi haina mashiko kabisa na ni pumba ya kupuuzwa
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili! Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio, Mwabukusi ndiye analaumu chadema!..Ccm watajaribu lila njia kutengeneza " bifu" kati ya wanaharakati na Chadema.
..Ni wajibu wa makundi hayo kuukwepa mtego huo.
Nimesema hivyo mara zote kuwa mwabukusi ajiepushe kugongana/kulaumu/kuwazodoa chadema. haimsaidii, HATA KAMA ALIKUWA MWANACHAMA AKAONDOKA ,KAMA SLAA), huu sio wakati wa kuingiza tofauti za nyuma. "Adui" ni mmoja, tumkabiri wote kwa pamoja. Mwabukusi kwa hilo namdharau/namkemea sana!
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili! Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio, Mwabukusi ndiye analaumu chadema!
Na Mbowe alisema waje akina Mwabukusi wawashirikishe katika meza ya mazungumzo, waone wanavyoweza kua ccomodate ratiba zao! alisema wazi wazi. sasa wew brazaj tatizo liko wapi? Au una nongwa na chadema..si ajabu wewe ni slaa π π π π π πKwanini mnataka terms zenu tu ku prevail?
Semeni hivi:
"Ndugu twende 'pooo.' Sote tunajenga nyumba moja. Watu wakakaa chini yakajengwa."
Kila upande ukawasilisha hoja zake kwenye meza kukaangaliwa nini kinakubaliwa au nini kinakataliwa.
Nje ya hapo ni wazi itakuwa ni kila mtu kupambana na hali yake.
Kwamba Kila mtu ana hoja zake rahisi ilikuwa kushawishiana kwa hoja kufikia muafaka mmoja.
Kulikoni kujifanya CCM kuandaa code ya conduct Kwa wengine kwa jina la siasa za ustaarabu?
Six na nine zinaandikwa tofautiSi rahisi hivyo kuuona upande wako. Acha wanakuona wakupe assessment kukuhusu ndugu:
View attachment 2776978
Hekima ni kitu cha bure.
Two wrongs dont make a right, kwa mtu mwenye fikra mgando atasema hivyo, ni sawa na kusema kama ningekuwa bado tajiri nisingehangaika na hawa maskini, sio kweli hata kidogoKwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?
kama aliunga mkono atrocities zote za maguduli, huyu ni kumwamini? huyu ni wa kuwa naye? Unajuaje kama hajatumwa? Huyu anaongeka kirahisi, si wa kuwa naye.
Two wrongs dont make a right, kwa mtu mwenye fikra mgando atasema hivyo, ni sawa na kusema kama ningekuwa bado tajiri nisingehangaika na hawa maskini, sio kweli hata kidogo
Kuwa balozi kuna fursa nyingi na malipo endelevu hata baada ya kustaafu kwa heshima, sio kitu kidogo au unabaki tu na title hapana
Speaking of atrocities, kila mtu ana mtazamo juu ya hilo, hakuna malaika asie na makosa hata huyo aliyepita ana makosa yake ila kulinganisha na kuoanisha na haya yaliyopo kisha kumjudge mtu from your perpsective ni vitu viwili tofauti. . .
Six na nine zinaandikwa tofauti
6= six
9=nine
yours is undefined!