Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Baada ya Dr. Slaa kukamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kufanya kusanyiko lisilo halali, Adv.Mwabukusi amepata wito wa barua wa polisi kwenda kujibu tuhuma za namna hiyohiyo. Tumekubaliana kwamba dr. Slaa hatutamuwekea dhamana wakae naye na badala yake tunawashtaki mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app