Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Baada ya Dr. Slaa kukamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kufanya kusanyiko lisilo halali, Adv.Mwabukusi amepata wito wa barua wa polisi kwenda kujibu tuhuma za namna hiyohiyo. Tumekubaliana kwamba dr. Slaa hatutamuwekea dhamana wakae naye na badala yake tunawashtaki mahakamani
20231009_144603.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Issue ya Dkt. Slaa kufanya haya kisa ubalozi haina mashiko kabisa na ni pumba ya kupuuzwa, maana hata wakati wanafanya mkutano wao wa kwanza pale Buliaga Temeke, aliweka wazi kuwa issue ni maslahi ya nchi na sio title kama issue ni ubalozi basi wauchukue, na ndicho kilichotokea

So ilikuwa before ya yote
 
sijakuelewa, suluhu ipi? na nani?

Uliona chote nilichoandika? Ninakuwekea tena hapa kama kilivyokuwa:

Kwanini kama unaona kuunganisha nguvu ni jambo la muhimu (kama ambavyo kila mtu anaona), hauoni umuhimu wa kujikita kwenye kutafuta suluhu, kama kipaumbele?

Kipi hujaelewa hapo ndugu?

Angalizo:

Jibuni hoja. Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu.
 
Baada ya Dr. Slaa kukamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kufanya kusanyiko lisilo halali, Adv.Mwabukusi amepata wito wa barua wa polisi kwenda kujibu tuhuma za namna hiyohiyo. Tumekubaliana kwamba dr. Slaa hatutamuwekea dhamana wakae naye na badala yake tunawashtaki mahakamaniView attachment 2776813

Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia inayaona hayo. Yalitegemewa hayo. Ni katika sehemu ya ukombozi.

Alisikika mwamba mmoja akisema:

"Na atachafuka kweli kweli .."

Tuko vizuri.

Aluta continua.
 
..Maandamano ya wanaharakati yaendelee.

..Mikutano ya Chadema nayo iendelee.

..pia kusiwepo lugha za kukwazana kati ya wanaharakati na Chadema.

..makundi hayo mawili yawe makini yasichonganishwe na kupelekea kuhasimiana.
 
..Maandamano ya wanaharakati yaendelee.

..Mikutano ya Chadema nayo iendelee.

Si ndivyo ilivyo?

..pia kusiwepo lugha za kukwazana kati ya wanaharakati na Chadema.

..makundi hayo mawili yawe makini yasichonganishwe na kupelekea kuhasimiana.

"Uhuru wa mawazo ya watu uheshimiwe." -- JF rule.

Anakwazika vipi wapi mtu kwenye kitu anachokiamini?

Kuna na yule mwingine katengeneza zake kule zinaitwa "siasa za kistaarabu."

Ninakazia:

Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu.
 
..Maandamano ya wanaharakati yaendelee.

..Mikutano ya Chadema nayo iendelee.

..pia kusiwepo lugha za kukwazana kati ya wanaharakati na Chadema.

..makundi hayo mawili yawe makini yasichonganishwe na kupelekea kuhasimiana.
Nimesema hivyo mara zote kuwa mwabukusi ajiepushe kugongana/kulaumu/kuwazodoa chadema. haimsaidii, HATA KAMA ALIKUWA MWANACHAMA AKAONDOKA ,KAMA SLAA), huu sio wakati wa kuingiza tofauti za nyuma. "Adui" ni mmoja, tumkabiri wote kwa pamoja. Mwabukusi kwa hilo namdharau/namkemea sana!
 
..Ccm watajaribu lila njia kutengeneza " bifu" kati ya wanaharakati na Chadema.

..Ni wajibu wa makundi hayo kuukwepa mtego huo.
 
Issue ya Dkt. Slaa kufanya haya kisa ubalozi haina mashiko kabisa na ni pumba ya kupuuzwa
Kwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?
kama aliunga mkono atrocities zote za maguduli, huyu ni kumwamini? huyu ni wa kuwa naye? Unajuaje kama hajatumwa? Huyu anaongeka kirahisi, si wa kuwa naye.
 
..Ccm watajaribu lila njia kutengeneza " bifu" kati ya wanaharakati na Chadema.

..Ni wajibu wa makundi hayo kuukwepa mtego huo.
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili! Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio, Mwabukusi ndiye analaumu chadema!
 
Nimesema hivyo mara zote kuwa mwabukusi ajiepushe kugongana/kulaumu/kuwazodoa chadema. haimsaidii, HATA KAMA ALIKUWA MWANACHAMA AKAONDOKA ,KAMA SLAA), huu sio wakati wa kuingiza tofauti za nyuma. "Adui" ni mmoja, tumkabiri wote kwa pamoja. Mwabukusi kwa hilo namdharau/namkemea sana!

Kwanini mnataka terms zenu tu ku prevail?

Semeni hivi:

"Ndugu twende 'pooo.' Sote tunajenga nyumba moja. Watu wakakaa chini yakajengwa."

Kila upande ukawasilisha hoja zake kwenye meza kukaangaliwa nini kinakubaliwa au nini kinakataliwa.

Nje ya hapo ni wazi itakuwa ni kila mtu kupambana na hali yake.

Kwamba Kila mtu ana hoja zake rahisi ilikuwa kushawishiana kwa hoja kufikia muafaka mmoja.

Kulikoni kujifanya CCM kuandaa code ya conduct Kwa wengine kwa jina la siasa za ustaarabu?
 
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili! Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio, Mwabukusi ndiye analaumu chadema!

Si rahisi hivyo kuuona upande wako. Acha wanaokuona wakupe assessment kukuhusu ndugu:

1664543999224~2.jpg

Hekima ni kitu cha bure.
 
Kwanini mnataka terms zenu tu ku prevail?

Semeni hivi:

"Ndugu twende 'pooo.' Sote tunajenga nyumba moja. Watu wakakaa chini yakajengwa."

Kila upande ukawasilisha hoja zake kwenye meza kukaangaliwa nini kinakubaliwa au nini kinakataliwa.

Nje ya hapo ni wazi itakuwa ni kila mtu kupambana na hali yake.

Kwamba Kila mtu ana hoja zake rahisi ilikuwa kushawishiana kwa hoja kufikia muafaka mmoja.

Kulikoni kujifanya CCM kuandaa code ya conduct Kwa wengine kwa jina la siasa za ustaarabu?
Na Mbowe alisema waje akina Mwabukusi wawashirikishe katika meza ya mazungumzo, waone wanavyoweza kua ccomodate ratiba zao! alisema wazi wazi. sasa wew brazaj tatizo liko wapi? Au una nongwa na chadema..si ajabu wewe ni slaa 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Kwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?
kama aliunga mkono atrocities zote za maguduli, huyu ni kumwamini? huyu ni wa kuwa naye? Unajuaje kama hajatumwa? Huyu anaongeka kirahisi, si wa kuwa naye.
Two wrongs dont make a right, kwa mtu mwenye fikra mgando atasema hivyo, ni sawa na kusema kama ningekuwa bado tajiri nisingehangaika na hawa maskini, sio kweli hata kidogo

Kuwa balozi kuna fursa nyingi na malipo endelevu hata baada ya kustaafu kwa heshima, sio kitu kidogo au unabaki tu na title hapana

Speaking of atrocities, kila mtu ana mtazamo juu ya hilo, hakuna malaika asie na makosa hata huyo aliyepita ana makosa yake ila kulinganisha na kuoanisha na haya yaliyopo kisha kumjudge mtu from your perpsective ni vitu viwili tofauti. . .
 
Akikuelewa utupe mrejesho tafadhali. Tuko pale, tunamwagilia mioyo.
 
Back
Top Bottom