Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

..Chadema wamemhakikishia Adv.Mwabukusi kwamba hawakulalamika kwa OCD kwamba nyimbo za chama chao zimepigwa ktk mkutano wa Mwabukusi na wanaharakati.

Chadema inawajibu wa kuthibitisha au kukanusha lolote kutokea kokote lisilokuwa lake na kwa wakati; na hasa isilokuwa nalo maslahi.

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Kwenye zama hizi za mapambano si nadra kuwa maadui wanaojinasibu overt na covert kuililia machozi ya mamba Chadema, kwamba ni machozi kuliko hata kina Lissu.

Tumesema sana haya. Hadi Yesu Kristo arudi wandugu?

Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

..Mwabukusi amesema hana tatizo lolote na Chadema na kwamba ana mahusiano mazuri nao na amewahi kufanya nao kazi nyingi kipindi cha nyuma.

Imekaa kiungwana zaidi. Tatizo ni kuwa ma CCM na vibaraka wao wengine kwa kujua au kutokujua hawataki mapatano.

Kulikoni kutokuwaelimisha hata DM huko wajumbe kama ndugu Retired ?

Ama Kwa hakika haieleweki wanafaidika nini kwenye mafarakano.

"Tunataka mapatano si mafarakano!"

Umoja ni nguvu.

..Ndio maana naendelea kusisitiza kwamba kuna jitihada za makusudi au kutokujua za kuwachonganisha Chadema na wanaharakati.

Jitihada hizo zitakuwa ni za ma CCM na vibaraka wao.

Ushauri wa bure:

Bila kujali majina, nyuso, vyeo nk vyao kokote watu hao waambiwe ukweli huo sirini na hata hadharani.
 
Siyo kwa tanzania, forgrt about mass reaction.....sahau kabisa. Pressure groups kama vyama vyenye nia ya dhati, watu binafsi, wanaweza kuleta mabadiliko. Hakuna aliye tayari kupigwa risasi hawa wananchi kwenye maandamano....

Wewe kama hauko tayari kwa mass action au kupigwa risasi si unakaa pembeni?

Tujuavyo sisi kina Mahlangu, Biko, Mandela, Tutu na wa namna hiyo wapo.

Mara nyingi tumesema wavumao baharini papa, lakini na wengine wapo!

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Huwezi, uko madarakani? Toka tuweke mwenye uwezo.

Tatizo liko wapi?

Zingatia:

Andiko bila rejea ni upuuzi mtupu!
 
Wewe kama hauko tayari Kwa mass action au kupigwa risasi si unskaa pembeni?

Tujuavyo sisi kina Mahlangu, Biko, Mandela, Tutu na wa namna hiyo wapo.

Mara nyingi tumesema wavumao baharini papa lakini na wengine wapo!

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Huwezi, uko madarakani? Toka tuweke mwenye uwezo.

Tatizo liko wapi?

Zingatia:

Andiko bila rejea ni upuuzi mtupu!
weka jina lako halisi hapa tuone umedhamiria..talalila za hapa JF/mitandaoni siwezi kuziamini! Be a verified user
 
weka jina lako halisi hapa tuone umedhamiria..talalila za hapa JF/mitandaoni siwezi kuziamini! Be a verified user

JokaKuu ndugu yenu huyu huku bado anang'aka.

"Watu kama hawa ni wa hovyo wenye mchango mdogo sana kwenye taifa hili."

Alisikika jiwe akisisitiza jambo.
 
..yaani umekosa mtu wa maana kufikisha ujumbe wako mpaka umtumie huyo MUUAJI? Kwa kweli umeniudhi kwa kitendo hiki.

Pole ndugu.

Ila tambua ninaandika kwa tahadhali kubwa sana. Ninajua walivyo busy kutafuta "even a sight mistake" ambayo ninajua hawataipata.

Hata hapo najua mtu angerukia kusema nimemtukana, kwamba kaitwa kijana wa hovyo. Hii achilia mbali kuwa midomo yao ni matusi mtupu ambayo ni ku depict walivyo.

"Niliyaona kwenye picha ya Faiza pia. Kama kawaida yao wakarukia wasijue, siko level yao."

Hata hapa sikukuwakilishia wewe hiyo picha. Hiyo nimejiwasilishia mimi with a purpose of self defense.

Nimeandika alivyokuwa akisema huyo bwana ndiyo utetezi wangu dhidi ya mashtaka yoyote yao kwangu.

Hukupenda nijilinde ndugu?

Habari ndiyo hiyo.

"Pia tambua siko hapa kumfurahisha awaye yote. Kumfurahisha mtu ... nisiseme neno baya hapa Ya-Rabi!"
 
JokaKuu ndugu yenu huyu huku bado anang'aka.

View attachment 2778117

"Watu kama hawa ni wa hovyo wenye mchango mdogo sana kwenye taifa hili."

Alisikika jiwe akisisitiza jambo.
Humu JF hakutakupatia malengo yako wewe na mwabukusi! Hovyo ni wewe , weka jina lako halisi nitaona kuwa umedhamiria. Jeshi la watu 3 you may be being one of them, sidhani kama mtatoboa popote!Sidhni kama serikali itatikiswa na jeshi la watu 3! Ushirikiano na vyama vilivyopo kungelikuwa na Tija zaidi kuliko hii....
Fukua picha zote weka hapo, makes no difference!
 
Nikukumbushe andiko bila rejea ni upuuzi mtupu. Hasira za mkizi kwenye nini?

Kuwa hutaki mapatano?

Kuhakikisha tutaendelea kuwaelimisha wenzetu mliokaza bongo, inabidi usalama uwepo.

Uzi huu unahusika:

"Mwabukusi, Dkt Slaa, Mdude, Sauti ya Watanzania waongezewe Ulinzi"

Please understand. This is not personal.

Anasema Museveni maendeleo ya Uganda hayawezi kusubiri Karamojong wajue kuvaa suruali.

Kukubali kutofautiana ni sehemu ya mchezo. Ila kuwa king'ang'anizi kama kanegere bila hoja ni disgrace.

Ustaarabu ni kushawishiana kwa hoja.

"Democracy. Democracy. Democracy."

Penye wengi hapa haribiki jambo. Kulikoni kutokuwa tayari kusikiliza? Kulikoni kutokuwa tayari kuwasikiliza wananchi?

Ni ubunge au ni ruzuku? Shida nini ndugu makasiriko haya hadi kuitana majina ya ajabu ajabu? Mbona miye sifanyi hivyo?

Looh!

Tafakali ... chukua hatua.
 
Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!
Tukumbushane, kati ya Dr Slaa na Mbowe ni nani nyoka alietung'ata ambaye hata ujani ukitugusa tunapaswa kuwa na hofu?
Kwa upande wangu Mbowe alitung'ata 2015 kwenye gia ya angani.

Toka hapo huwa simuamini sana
Hiki anachofanya sasa ni muendelezo tu wakuipambania CCM isitikiswe
 
Humu JF hakutakupatia malengo yako wewe na mwabukusi! Hovyo ni wewe , weka jina lako halisi nitaona kuwa umedhamiria. Jeshi la watu 3 you may be being one of them, sidhani kama mtatoboa popote!Sidhni kama serikali itatikiswa na jeshi la watu 3! Ushirikiano na vyama vilivyopo kungelikuwa na Tija zaidi kuliko hii....
Fukua picha zote weka hapo, makes no difference!
Sasa km jeshi la watu watatu unadhani litashindwa. Mbona wewe unaamini jeshi la mtu mmoja "MBOWE" litafanikiwa?
Ila kaa ukijua wananchi wanafuata yeyote ambaye anaonekana ni mtetezi kwao.
Hata CHADEMA ilipata wafuasi baada ya kupambania hoja za wananchi.
Mkishupaza shingo na kuzidi kuungana na CCM hii iliyojaa ufisadi huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA.
Km ilivyokuwa NCCR, CUF
 
Kwa mawazo mgando haya, zipo sababu za kuhisi hatari huko mbele:

Mwabukusi, Dkt Slaa, Mdude, Sauti ya Watanzania waongezewe Ulinzi

Wanasema, "chelea mwanao kulia .."
 
Back
Top Bottom