GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa vile Watanzania hawachagui hoja,wanachagua mtu, hata akisimama na kupunga tuu mkono,inatosha,kwasababu,kazi tuliisha maliza kitambo!,29 October ni kuhalakisha tuu kwa kuthibitisha,ili kutimiza takwa la kikatiba!
P
Ingekuwa hivyo simba wa kwenye kitundu angeachiwa. Ashiriki
 
very nonsense,
yaana mtu akiuke sheria kwa makusudi halafu asiwajibishwe, yaani waropokaji wenzie waje na huruma zao za kinafiki ili mkiuka sheria aachiwe huru?

kwanza huko ni kuingilia uhuru wa mahakama, lakini pia ni kuzifanya sheria za nchi ni useless.

ni vizur watuhumiwa kujikwamua mahakamani kwa mujibu wa sheria ikiwa wanahisi ukiukaji sheria ni haki yao.

wakiuka sheria wote Lazima washikishwe adabu kwa mujibu wa sheria walizokiuka 🐒

Ona hili jingine!! Sijui hata liitwe nani!!
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.

Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za kisiasa"

the guy is very smart upstairs!

MWABUKUSI wangekuwa idadi kama kadhaa, nchi ingenawiri
 
Kwa vile Watanzania hawachagui hoja,wanachagua mtu, hata akisimama na kupunga tuu mkono,inatosha,kwasababu,kazi tuliisha maliza kitambo!,29 October ni kutimiza tuu taratibu za kuhalalisha kwa kuthibitisha kwa kutiki tuu, kutimiza lile takwa la kikatiba!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P

..kama ni kuchagua mtu bora angewekwa Jokate maana anavutia.
 
Ukiwa kiongozi lazima uwe unachaguwa maneno ya kusema kuna watu hawana hasara kwenye Maisha ukimwabia utakinukisha yupo tayari halafu mapikiwa wewe utoka njee ya nchi ukiwangalia kwenye tv
Kauli ni muhimu sana
 
very nonsense,
yaana mtu akiuke sheria kwa makusudi halafu asiwajibishwe, yaani waropokaji wenzie waje na huruma zao za kinafiki ili mkiuka sheria aachiwe huru?

kwanza huko ni kuingilia uhuru wa mahakama, lakini pia ni kuzifanya sheria za nchi ni useless.

ni vizur watuhumiwa kujikwamua mahakamani kwa mujibu wa sheria ikiwa wanahisi ukiukaji sheria ni haki yao.

wakiuka sheria wote Lazima washikishwe adabu kwa mujibu wa sheria walizokiuka 🐒
Hakuna asiyejua kuwa kesi alizobambikiwa Lissu ni kesi za kisiasa tu. Kesi ziko mahakamani na watu tunaendelea kujadili kwa uhuru wote. Kesi hizi zina maslahi ya kitsifa na kila mtu ans uhuru wa kutoa maoni yake, jambo ambalo kwa chawa wa bibi wa kizimkazi si rahisi kuelewa sababu ya utovu wa fikra zinazojitegemea.
 
huwezi kukiuka sheria na kujificha kwenye demokrasia,
hiyo nonsense haiwezi kuvumiliwa hata kidaogo.

ni muhimu kua wastaarabu na kuishi kulingana na sheria katika nyanja zote kisiasa, kijamii na kiuchumi :NoGodNo:
 
Ona hili jingine!! Sijui hata liitwe nani!!
wakiusha sheria watashikishwa adabu kulingana na sheria walizokiuka.

huwezi kukiuka sheria na kujificha kwenye demokrasia. Utashughulikiwa bila aibu wala huruma :NoGodNo:
 
Akili yako na wewe imekuwa matope sana mlipopoteza mradi wenu wa kukitumia chama kama kitega uchumi.
Hizi story zilikua relevant kabla ya ule uchaguzi wa CDM kwa sasa hazina relevance tena! 😂😂
 
Mama hawezi jenga hoja majukwaani wakati wa kampeni anamuogopa lissu, saizi yake ni hao akina salum mwl na mpina...viazi wenzie!.
Yaani kuongozwa na vilaza ni shida sana.
Sijui hiyo miaka 5 ijayo hali itakuwaje!
 
Back
Top Bottom