GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ingekuwa hivyo simba wa kwenye kitundu angeachiwa. Ashiriki
 

Ona hili jingine!! Sijui hata liitwe nani!!
 

the guy is very smart upstairs!

MWABUKUSI wangekuwa idadi kama kadhaa, nchi ingenawiri
 
Hii kesi itaisha mara baada ya uchaguzi maana lengo litakuwa limetimia. Kama unapinga rudia hii post baada ya uchaguzi.
uchaguzi upi/gani. hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.

#KATAA WAHUNI#
 

..kama ni kuchagua mtu bora angewekwa Jokate maana anavutia.
 
Ukiwa kiongozi lazima uwe unachaguwa maneno ya kusema kuna watu hawana hasara kwenye Maisha ukimwabia utakinukisha yupo tayari halafu mapikiwa wewe utoka njee ya nchi ukiwangalia kwenye tv
Kauli ni muhimu sana
 
Hakuna asiyejua kuwa kesi alizobambikiwa Lissu ni kesi za kisiasa tu. Kesi ziko mahakamani na watu tunaendelea kujadili kwa uhuru wote. Kesi hizi zina maslahi ya kitsifa na kila mtu ans uhuru wa kutoa maoni yake, jambo ambalo kwa chawa wa bibi wa kizimkazi si rahisi kuelewa sababu ya utovu wa fikra zinazojitegemea.
 
huwezi kukiuka sheria na kujificha kwenye demokrasia,
hiyo nonsense haiwezi kuvumiliwa hata kidaogo.

ni muhimu kua wastaarabu na kuishi kulingana na sheria katika nyanja zote kisiasa, kijamii na kiuchumi
 
Ona hili jingine!! Sijui hata liitwe nani!!
wakiusha sheria watashikishwa adabu kulingana na sheria walizokiuka.

huwezi kukiuka sheria na kujificha kwenye demokrasia. Utashughulikiwa bila aibu wala huruma
 
Akili yako na wewe imekuwa matope sana mlipopoteza mradi wenu wa kukitumia chama kama kitega uchumi.
Hizi story zilikua relevant kabla ya ule uchaguzi wa CDM kwa sasa hazina relevance tena! 😂😂
 
Mama hawezi jenga hoja majukwaani wakati wa kampeni anamuogopa lissu, saizi yake ni hao akina salum mwl na mpina...viazi wenzie!.
Yaani kuongozwa na vilaza ni shida sana.
Sijui hiyo miaka 5 ijayo hali itakuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…