Huu ni wakati wa kuunguruma kwa sauti ambayo haijawahi kusikika kwenye taifa hili.
Sio wakati wa unyonge ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.
Tusiogope, mimi binafsi siogopi, TLS haiogopi, Mawakili msibabaike na wananchi msibabaike.
Hatuwezi kuendelea kawaida kama mambo yote yako sawa wakati hayapo sawa.
Taasisi inashambuliwa na watawala na shambulio hili ni la kimkakati lazima tulikabili.
Nitakaa na baraza la uongozi na tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa toka TLS iundwe. Mwabukusi Rais wa TLS.