huyu jamaa mchochezi akishaga puliza mambo yake hua anachekesha sana aie![]()
Wavuta bangi ni wale waliosema vyombo vya ulinzi ni mali ya SISIEMHv kwanini wanyakyusa hawaga akili ni watu makasiriko, waropokaji. Hiyo hatua kali labda wachukue silaha, hilo nyakyusa ni lipumbavu halina mfano. Cheti chenyewe cha kuokoteza tunamjua alikuwa mpiga debe pale Arusha stand.
Gentleman,Ogopa sana mtu anayewadhulihaki wanaopigania haki Mungu atakupa maisha marefu
relax bas,Wewe ni ku ma
Wachochezi ni nyie wenyewe alafu mnasingzia watu
Inachanganya kidogo.Ni mtu mpumbavu ndio ataamini yale maandamano yalihitaji ufadhili ndio yafanyike na sababu wapumbavu ndio wamemzunguka bi kidude nae uwezo wake ni mdogo anachukua mawazo yao duni.
Inachanganya kidogo.
Mwabukusi kaitwa polisi kuhusu maandamano ya 2025, au maandamano yanayopangwa kutokea October 2026?
Vyovyote na iwavyo, ni wazi kwamba watawala hawana utulivu kabisa mioyoni mwao.
Mwabukusi huwa anakosea mahali pamoja. Hujitangaza sana kabla ya hatua anazopanga kuzichukuwa.
Ingekuwa ni bora zaidi angejitokeza na kuzungumza na vyombo vya habari baada ya kikao na Baraza lake na kutoa yaliyokubaliwa kufanyiwa kazi
Hii kwa kweli haikuwa na ulazima wowoteMambo yakianza kutulia hii nchi CCM wanachokoza watu wengine tena, kikubwa wapate maadui tu.
Yeye alichaguliwa na Mawakili wasomi.Hata yeye kajificha kwenye Urais wa TLS, ndiyo unampa ulinzi.
So?Yeye alichaguliwa na Mawakili wasomi.
Jizime dataHata yeye kajificha kwenye Urais wa TLS, ndiyo unampa ulinzi.
Hv kwanini wanyakyusa hawaga akili ni watu makasiriko, waropokaji. Hiyo hatua kali labda wachukue silaha, hilo nyakyusa ni lipumbavu halina mfano. Cheti chenyewe cha kuokoteza tunamjua alikuwa mpiga debe pale Arusha stand.
ww jamaa sikufahamu! ila nikuambie: wewe ni kijana wa hovyo, beyond repairHv kwanini wanyakyusa hawaga akili ni watu makasiriko, waropokaji. Hiyo hatua kali labda wachukue silaha, hilo nyakyusa ni lipumbavu halina mfano. Cheti chenyewe cha kuokoteza tunamjua alikuwa mpiga debe pale Arusha stand.
Nitawaelewa wakitangaza kuongoza na kuungana na wananchi siku ya 29/10.
Kwahiyo adhabu yake ni kuuawa.Hivi kuchoma vituo vya mafuta , kuiba maduka ya watu ,kuvamia vituo vya polisi, kuwaua maaskari, kuchoma mwendokasi ilikua ndiyo njia ya kupigania haki?
Haki yako sio halali kwa kuvunja haki ya mwingine.