Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

Wanazuga ili ionekane Samia alikuwa anakubalika, ila watu toka nje ndio walisababisha machafuko. Wakati voters turnout ilidhihirisha kuwa ccm na Samia wamechokwa. Inatakiwa ipikwe ripoti ya kubumba ili kuhadaa umma. Watu tunaojitambua hatudanganyiki.

Uchaguzi feki ambao saa 4 asubuhi
vituo vya kupiga kura vilikua vimevarangatishwa inawezekanaje kuuita huo ni uchaguzi.
 
Huu ni wakati wa kuunguruma kwa sauti ambayo haijawahi kusikika kwenye taifa hili.

Sio wakati wa unyonge ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.

Tusiogope, mimi binafsi siogopi, TLS haiogopi, Mawakili msibabaike na wananchi msibabaike.

Hatuwezi kuendelea kawaida kama mambo yote yako sawa wakati hayapo sawa.

Taasisi inashambuliwa na watawala na shambulio hili ni la kimkakati lazima tulikabili.

Nitakaa na baraza la uongozi na tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa toka TLS iundwe. Mwabukusi Rais wa TLS.

View attachment 3691385
Hv kwanini wanyakyusa hawaga akili ni watu makasiriko, waropokaji. Hiyo hatua kali labda wachukue silaha, hilo nyakyusa ni lipumbavu halina mfano. Cheti chenyewe cha kuokoteza tunamjua alikuwa mpiga debe pale Arusha stand.
 
Ni mtu mpumbavu ndio ataamini yale maandamano yalihitaji ufadhili ndio yafanyike na sababu wapumbavu ndio wamemzunguka bi kidude nae uwezo wake ni mdogo anachukua mawazo yao duni.
Hakuna mpumbavu anakuzidi wewe hp duniani km ule uhalifu unaita maandanano
 
Hv kwanini wanyakyusa hawaga akili ni watu makasiriko, waropokaji. Hiyo hatua kali labda wachukue silaha, hilo nyakyusa ni lipumbavu halina mfano. Cheti chenyewe cha kuokoteza tunamjua alikuwa mpiga debe pale Arusha stand.
Unamzidi nini Mwabukusi, yeye ni rais wa Mawakili wewe ni rais wa nini kwa mfano.
 
Back
Top Bottom