Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Huu ni wakati wa kuunguruma kwa sauti ambayo haijawahi kusikika kwenye taifa hili.

Sio wakati wa unyonge ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.

Tusiogope, mimi binafsi siogopi, TLS haiogopi, Mawakili msibabaike na wananchi msibabaike.

Hatuwezi kuendelea kawaida kama mambo yote yako sawa wakati hayapo sawa.

Taasisi inashambuliwa na watawala na shambulio hili ni la kimkakati lazima tulikabili.

Nitakaa na baraza la uongozi na tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa toka TLS iundwe. Mwabukusi Rais wa TLS.

Your browser is not able to display this video.
 
huyu jamaa mchochezi akishaga puliza mambo yake hua anachekesha sana aie
 
Ningeshangaa asingebwabwaja
 
WAISLAMU WATAKUAMBIA WAO NDIYO WALIPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA....MBONA WAMEJIKUNYATA KWENYE KUPIGANIA UHURU SASA ....
 
Ni mtu mpumbavu ndio ataamini yale maandamano yalihitaji ufadhili ndio yafanyike na sababu wapumbavu ndio wamemzunguka bi kidude nae uwezo wake ni mdogo anachukua mawazo yao duni.
Wanazuga ili ionekane Samia alikuwa anakubalika, ila watu toka nje ndio walisababisha machafuko. Wakati voters turnout ilidhihirisha kuwa ccm na Samia wamechokwa. Inatakiwa ipikwe ripoti ya kubumba ili kuhadaa umma. Watu tunaojitambua hatudanganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…