Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

“ Operation Lion Roaring “
 
Kwahiyo adhabu yake ni kuuawa.
Hapana maana ukichoma kituo cha polisi na kuchukua bunduki na kumuua askari au kuchoma kituo cha mafuta au ukiandamana na panga,visu nk inabidi polisi wakubembeleze ili wakunyanganye hizo silaha.
 
Mwabukusi huwa anakosea mahali pamoja. Hujitangaza sana kabla ya hatua anazopanga kuzichukuwa
Hii changamoto ya Mwabu hata wewe unayo, ni vile tu haujataka kujifanyia tathmini na wengine tukikwambia unatuona hamnazo.
 
Hili jamaa ni liongo na lioga kuliko watu wote duniani ukikuta linapiga mkwara sehemu utadhani ni kweli kumbe mbwa akibweka tuu jamaa anapotea
 
Hii changamoto ya Mwabu hata wewe unayo, ni vile tu haujataka kujifanyia tathmini na wengine tukikwambia unatuona hamnazo.
Ni lini umenigawia eneo la uongozi nililosimamia na kutenda kama anavyotenda Mwabu.!
Nijifanyie tathmini kwa jambo la kuambiwa na mpuuzi kama wewe; nitakuwa sina akili kichwani mwangu?
 
Ni lini umenigawia eneo la uongozi nililosimamia na kutenda kama anavyotenda Mwabu.!
Nijifanyie tathmini kwa jambo la kuambiwa na mpuuzi kama wewe; nitakuwa sina akili kichwani mwangu?
Unaona ulivyo mpuuuzi, unafikiri mtu anapaswa kuwajibika pale tu akiwa kiongozi. Kwa akili mbovu kama hizi na bado una guts za kuita watu wapuuzi.
 
Unaona ulivyo mpuuuzi, unafikiri mtu anapaswa kuwajibika pale tu akiwa kiongozi. Kwa akili mbovu kama hizi na bado una guts za kuita watu wapuuzi.
Kwa hiyo kukupa heshima ya kuwa "mpuuzi" haitoshi; basi acha nikupe hii hadhi ya uchizi, maana inaonyesha ndiyo sahihi zaidi kwa mtu kama wewe.
 
Kwa hiyo kukupa heshima ya kuwa "mpuuzi" haitoshi; basi acha nikupe hii hadhi ya uchizi, maana inaonyesha ndiyo sahihi zaidi kwa mtu kama wewe.
Bado hujasema

Our leader, the master keyboard warrior.
 
huyu jamaa mchochezi akishaga puliza mambo yake hua anachekesha sana aie
Cha kuchekesha eti TLS haigopi kitu wakati anajua TLS ni chombo kilichosajiliwa na Serikali kwa kufuata utaratibu. Kama wakikiuka, kufutwa ni kama kuua mbu tu!
 



Your browser is not able to display this video.
 
Ukimsikia Wakili Mwabukusi anaongea utafikri kuna mtu. Ahahahahaha!!
 
Pelekeni moto sisi tupo nyuma yenu, utawala huu umezidi kulewa damu za wanyonge
Hatua ya kwanza arudishe lile gari alilopewa maana wakamwambia si tulikupa gari lile na Shilingi kadhaa uliona zimeingia kwenye account yako sasa kelele za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…