Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Sasa alitaka tuandamane kwaajili ya matumbo yao?

Wapambane wenyewe huko
 
Alilolisema Mwabukusi ni ukweli mtupu! Watanzania ni watu wasiopenda kutolea jasho wanachokitaka: iwe uhuru, haki, elimu n.k. Kwa mfano kazini = mshahara bila kazi, Vyuoni = ufaulu na vyeti kwa rushwa ya ngono. Biashara kwa dhulma tu, kipato kwa kubet au ushirikina, uchaguzi kwa wizi wa kura.
 

Watanzania kupenda Simba, Watanzania kupenda Yanga, kosa lao ni nini hapo?

Kama vipi Mwabukusi alete hoja ili sanaa, michezo na utamaduni vifutwe kwenye hii nchi. Mbona Mungai alifuta michezo mashuleni na hakuna mtu alibishana?
 
Watanzania kupenda Simba, Watanzania kupenda Yanga, kosa lao ni nini hapo?

Kama vipi Mwabukusi alete hoja ili sanaa, michezo na utamaduni vifutwe kwenye hii nchi. Mbona Mungai alifuta michezo mashuleni na hakuna mtu alibishana?
Watu badala ya kujadili maendeleo kutwa kujadili Simba na Yanga, tutapata wapi critical thinkers?
 
Litatokea jambo siku wananchi wenyewe wataingia barabarani bila kufuata kauli za viongozi wa chama. Yatakua hayana taarifa rasmi.

Kwa saivi acha polisi waandame wenyewe.
Si watanzania lakini, mitanzania ni misukule
 

Attachments

  • downloadfile-119.jpg
    54.5 KB · Views: 2
Huyu mwamba kazoea kufokea familia yake sahivi anataka amfokee kila mtu mwambie awe na mipaka asije kukutana na kofi ya kipara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…