Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huku ndiko kwenye uchawiKwenye maandano ya Simba na Yanga hakuna hatari ya madaraka ya ccm, hivyo huwezi kuona vyombo vya dola vikitumwa na viongozi wa ccm kwenda kuwateka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ndiko kwenye uchawiKwenye maandano ya Simba na Yanga hakuna hatari ya madaraka ya ccm, hivyo huwezi kuona vyombo vya dola vikitumwa na viongozi wa ccm kwenda kuwateka.
Tunaongozwa na wajinga na sisi tumekubali kuwa wajingaKwa kifupi Watanzania tulio wengi hatuna 'critical thinking' (hatuwezi kuhoji kwa nini mambo yafanyike kama yanavyofanyika na si tofauti). Kwa vile hatuna utamaduni wa kujihoji, tupo tupo tu bora liende, Kila mtu na shughuli zake.
Sasa alitaka tuandamane kwaajili ya matumbo yao?Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Ujinga wa watanzania upo hukuAsante sana Mwabukusi
Ile ingekuwa vita, maana polisi walikuja hadi na machine gun, na silaha nyengine za kivita kupambana na raia asiye hata na mawe mkononiMwabukusi mwenyewe mbona hakuonekana maandamano ya Chadema????
Mmmmmmm kwa hiyo naye ataandamana uchi siku yakiitiishwa maandamano ya Simba na yanga?
Watu badala ya kujadili maendeleo kutwa kujadili Simba na Yanga, tutapata wapi critical thinkers?Watanzania kupenda Simba, Watanzania kupenda Yanga, kosa lao ni nini hapo?
Kama vipi Mwabukusi alete hoja ili sanaa, michezo na utamaduni vifutwe kwenye hii nchi. Mbona Mungai alifuta michezo mashuleni na hakuna mtu alibishana?
Polisi walikuwa wamejiandaa kuuaIle ingekuwa vita, maana polisi walikuja hadi na machine gun, na silaha nyengine za kivita kupambana na raia asiye hata na mawe mkononi
Si watanzania lakini, mitanzania ni misukuleLitatokea jambo siku wananchi wenyewe wataingia barabarani bila kufuata kauli za viongozi wa chama. Yatakua hayana taarifa rasmi.
Kwa saivi acha polisi waandame wenyewe.
Kama lengo likikuwa ni kupinga utekaji, mateso, na mauaji.
Wangefanya siku hiyohiyo huko Tanga.
hii ingekuwa na impacts zaidi, kuliko kusubiri wiki mbili baadae.
n tabia ya watanzania washasahau.
Kama ambavyo tumewasahau waliopotea wengine
Mkuu jana uliandamana?Ujinga wa watanzania upo huku
Polisi walikuwa wamejiandaa kuua
Halafu sasa kila gun imejaa risasi, sidhani kama kuna mtu yeyote angesalimikaPolisi walikuwa wamejiandaa kuua
Wale kuua kwao siyo issue sababu wametumwa na huyu maza katili amejificha kwenye diniHii ndiyo hofu ambayo wangependa uwe nayo