Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Mwabukusi Rais wa Tanganyika Law society Hajaandamana alijificha chooni huyo halafu wafadhili na upinzani utasikia ndio wanamwita Mwabukusi Shujaa hata wafadhili wanamwita hivyo akili kichwani mwao hazimo kabisa

Mbowe kweli wa kwenda maandamano peke yake? Akina ole ngurumo sijui nani. Mawakili watetea masai mbona hawajatokea kuunga mkono Mbowe maandamano?

Akina sijui members prominent Wapinzani wa Tanganyika Law Society wajitia wapigania haki na demokrasia sijui akina kituo cha haki za binadamu cha Kijo bisimba nk mawakili ki front front kutetea haki za binadamu na shangazi wa taifa anavyojiita Fatuma karume mbona waliufyata hawakutokea maandamano ya Chadema?

Wafadhili Tanzania take note Tanzania tunajuana kuna matapeli wengi sana proffesinal political thieves wamejaa upinzani wafadhili mind your own pockets
Kwahyo Mwabukusi anakaanga Mbuyu Kisha anawaachia wenye meno watafune?
 
Kwa Tanzania hii ukitaka maandamano yafae na watu waitikie kuna mikoa ifuatayo ambayo watu wake hawana cha kupoteza.
1. Mbeya
2. Mara
3. Arusha
4. Singida
5. Shinyanga.
Japo kwa Singida na Shinyanga mpaka jambo liwaguse sana wahusika.
Ondoa Mara na Singida hapo, tena siku hizi hata Arusha hamna kitu mpaka wameteuliwa eti Kenyonyo ndiye kiongozi wao na Bashite ameubatiza uchuzi kuwa ndiyo Identity ya Chuga
 
Hiyo Dodoma wananchi wengi hawaijui chochote kuhusu serikali kusoma tu shida na ndio jiji
 
Ondoa Mara na Singida hapo, tena siku hizi hata Arusha hamna kitu mpaka wameteuliwa eti Kenyonyo ndiye kiongozi wao na Bashite ameubatiza uchuzi kuwa ndiyo Identity ya Chuga
Mara wakiamua wanaweza japo Mbeya kwakweli ni kama hawana cha kupoteza wakiamua. Singida siyo kivile nakuvaliana na wewe
 
sio watanzania wote, ni dar peke yake..ilikuwa sahihi kabisa kuondoa mji mkuu! unakuwaje mji mkuu na watu waoga, wajinga, wanafiki..nk,nk!
Maandamano ya waislam yakifanyika Dar licha ya kupigwa marufuku
 
Mwambieni watanzania sio wajinga wanasimama na mama awatowai.kumwaga damu kisa chuku zenu za ushungu wamama. Tumewashtukia sasa mmeumia akuna damu ilomwagika ili iwe agenda ya vikao na mizungu yenu yani damu ya mlalaoi iwe fursa kwenu. watanzania wanajitambua mlidhani mazoba. Mmesatiwa adi na wanachama wenu mmewageukia watanzania kwa ujumla mama5tena
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Tanzania remains a dangerous country in which to be a member of the political opposition, despite a change of president in 2021.
 
Nchi yetu inamisingi yake na mama alichowashinda kabaki ktk misingi ileile iyotoa mwanga tunakoellekea so akuna sababu ya msingi kuleta fujo kufanya nchi isitalike kuwataka wananchi wamtoe madalakani kiongozi wao maana yake watanzania ndio watakuwa wameipeleka nchi kusikoeleka mbaya zaid ichi ikipoteza dira akuna tena mtu mmja wakuamua atma yetu ivyo tumejiingiza ktk matatizo makuja mauwaji udini ukabila, kwasababu pengine ushungi tu wa mama mana atuoni kosa la mama kawapa kilamlichopoteza kias watanzania tunawaonea wivu mnavyobebwa na mama amtosheki mnatutaka watanzania tena tumble mama ktk kiti chake. Sisi tupo tayali kuandamana kuatoa ninyi lkn sio mama. Muwe na eshima kwa watanzania mnaitaji tuwaunge mkono ktk chaguzi.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Mpuuzi mwingine ni huyu Mwabukusi. Kila kitu anakichukulia katika mtazamo wa harakati.
 
TUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Mjinga huyo wakili ana elimu ya sheria ya kuungauunga matokeo yake ndio hizi kelele zake.

Mtu aache kushabikia mpira unaomletea angalau furaha ya dakika 90 aende akapigwe virungu na kulazwa central police kisa siasa za nchi hii.

Siasa za nchi hii CCM ameweza kuzihodhi kuanzia awamu ya kwanza mpaka hii ya sita.
 
Acha ujinga wewe mwakabusi wakumlaumu ni mabeyo watanzania Wala hawanashida
 
TUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Raha isiyo na uwezo wa kutengeneza kesho yako? Ama kweli wew ni walking dead
 
Back
Top Bottom