Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Jitu likishavimbiwa mihogo na energy drink baaasi , linaona limeyapatia maisha
Nchi ya misukule hii .
Kumpigania mbwa koko mtz ni bora kufanya mambo yako mengine , mtanzania ni ngedere aliyenyofolewa ubongo ,zikajazwa tope kwenye fuvu lake .
Mkuu kuna wengine hawajui haki zao wamejazwa ujinga kuwa maendeleo ni hisani ya Rais na siyo kodi zao
 
Kumbuka hata dodoma Kuna wagogo na hao ndo Huwa wanaichagua ccm miaka nenda rud ,dodma ni ngome ya CCM
 
Kwa Tanzania hii ukitaka maandamano yafae na watu waitikie kuna mikoa ifuatayo ambayo watu wake hawana cha kupoteza.
1. Mbeya
2. Mara
3. Arusha
4. Singida
5. Shinyanga.
Japo kwa Singida na Shinyanga mpaka jambo liwaguse sana wahusika.
Geita
 
Jamaa kaongea point sana.

Hiki kizazi cha kipuuzi kabisa
Sio kizazi ni sehemu kubwa ya jamii nzima kuanzia babu mpaka mjukuu .
Ujinga na upumbavu unarithishwa , Tanzania huwezi ona tofauti ya akili ya mzee na vijukuu wake .
Ni mfumo mbovu wa kijamii na maisha ya jamii za kitanzania uliochochewa na ukondoo uliyotengenezwa na Nyerere
Result Ndio hii ,majitu yanakuwa mapumbavu kupitiliza ,yanaamini serikali iko sahihi kwa kila kitu na hayana haki ya kuiwajibisha kama wananchi
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.


Soma:
Matusi ya reja reja na matusi ya nguoni.
 
sio watanzania wote, ni dar peke yake..ilikuwa sahihi kabisa kuondoa mji mkuu! unakuwaje mji mkuu na watu waoga, wajinga, wanafiki..nk,nk!
Mikoa mingine waliandamana? Maana wakati dar wakiwa wamejifungia mikoa mingine watu wangejitokeza kushangaza. Yuko sawa kusema watz wote.....
Yale maandamano sio ya watu wa dar bali ilikuwa kwa watu wote na kwa amani
 
Kwahio ?!!!! Yaani hawa Politicians !!! Naomba niwaambie yafuatayo:
  1. ukiona hivyo basi ujue ni failure ya hao hao hawajaweza kufikisha ujumbe wao wakaeleweka basi labda watafute mbinu SImba ya Yanga walifanyaje ili wao nao wafanye
  2. Ni kwamba pande zote hazieleweki hivyo mtu baki hana imani hata mabadiliko yoyote yakitokea kama kutakuwa na tofauti
  3. Vyama vya Siasa vina usimba na Uyanga zikija issue za kuwaunganisha wananchi wanazivisha koti la vyama (mfano maandamano ya Chadema na sio maandamano ya Maisha Magumu au Kupinga Shida)
Ila all is not lost Mtanzania bado ana hope na hajabanwa na maisha hawa madogo waliopo nursery sasa hivi kesho yao itakuwa ngumu na bakora zitapigwa kutokana na upuuzi unaofanyika leo (viongozi hawajui kula na vipofu)
 
Watu badala ya kujadili maendeleo kutwa kujadili Simba na Yanga, tutapata wapi critical thinkers?
Watanzania milioni 60+, unaposema watu kutwa kujadili Yanga na Simba, unamaanisha asilimia ngapi wanaruhusiwa kujadili hizo hoja na asilimia ngapi hawaruhusiwi?

Mwabukusi apewe Urais tuone inakuwaje.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.


Soma:
Mwabukusi kwani aliandamana wakuu?
 
Mimi jana nilikuwa moshi na kwenye maandamano nilihudhuria watu walikuwa wachache mno ,ila kusema ukweli wabongo tusipobadilika na kuacha huu upuuzi ,hatutoboi ,
 
Mbowe abadilike dar hakuna wanaume..alete huku kanda ya ziwa simiyu au rorya uone kazi itakavyoendelea ...
Nakumbuka hata uzinduzi wa kampeni urais za 2020 dar walikuwa wanajivuta, ila Lisu alipoingia mikoani alipata vibe la hatari hadi magu akawa anaingia garaje kila baaya ya wiki 2.
 
Back
Top Bottom