Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbona alitowekaNadhani waoga kaeni kwa kutulia.
Kwani shughuli yenyewe inahitaji wengi?
View attachment 3105382
Ndiyo maana wadada na watoto hawahitajiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona alitowekaNadhani waoga kaeni kwa kutulia.
Kwani shughuli yenyewe inahitaji wengi?
View attachment 3105382
Ndiyo maana wadada na watoto hawahitajiki!
Mkuu kuna wengine hawajui haki zao wamejazwa ujinga kuwa maendeleo ni hisani ya Rais na siyo kodi zaoJitu likishavimbiwa mihogo na energy drink baaasi , linaona limeyapatia maisha
Nchi ya misukule hii .
Kumpigania mbwa koko mtz ni bora kufanya mambo yako mengine , mtanzania ni ngedere aliyenyofolewa ubongo ,zikajazwa tope kwenye fuvu lake .
GeitaKwa Tanzania hii ukitaka maandamano yafae na watu waitikie kuna mikoa ifuatayo ambayo watu wake hawana cha kupoteza.
1. Mbeya
2. Mara
3. Arusha
4. Singida
5. Shinyanga.
Japo kwa Singida na Shinyanga mpaka jambo liwaguse sana wahusika.
Sio kizazi ni sehemu kubwa ya jamii nzima kuanzia babu mpaka mjukuu .Jamaa kaongea point sana.
Hiki kizazi cha kipuuzi kabisa
Mbona alitoweka
Sawa mkuuKwani nani atakuwepo duniani milele?
Ukweli wa wazi waoga hawahitajiki.
Matusi ya reja reja na matusi ya nguoni.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Mikoa mingine waliandamana? Maana wakati dar wakiwa wamejifungia mikoa mingine watu wangejitokeza kushangaza. Yuko sawa kusema watz wote.....sio watanzania wote, ni dar peke yake..ilikuwa sahihi kabisa kuondoa mji mkuu! unakuwaje mji mkuu na watu waoga, wajinga, wanafiki..nk,nk!
Watanzania milioni 60+, unaposema watu kutwa kujadili Yanga na Simba, unamaanisha asilimia ngapi wanaruhusiwa kujadili hizo hoja na asilimia ngapi hawaruhusiwi?Watu badala ya kujadili maendeleo kutwa kujadili Simba na Yanga, tutapata wapi critical thinkers?
Mwabukusi kwani aliandamana wakuu?Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Urais hautolewi kama uDC katiba haipo hivyoWatanzania milioni 60+, unaposema watu kutwa kujadili Yanga na Simba, unamaanisha asilimia ngapi wanaruhusiwa kujadili hizo hoja na asilimia ngapi hawaruhusiwi?
Mwabukusi apewe Urais tuone inakuwaje.
Nakumbuka hata uzinduzi wa kampeni urais za 2020 dar walikuwa wanajivuta, ila Lisu alipoingia mikoani alipata vibe la hatari hadi magu akawa anaingia garaje kila baaya ya wiki 2.Mbowe abadilike dar hakuna wanaume..alete huku kanda ya ziwa simiyu au rorya uone kazi itakavyoendelea ...
Singida ???Kwa Tanzania hii ukitaka maandamano yafae na watu waitikie kuna mikoa ifuatayo ambayo watu wake hawana cha kupoteza.
1. Mbeya
2. Mara
3. Arusha
4. Singida
5. Shinyanga.
Japo kwa Singida na Shinyanga mpaka jambo liwaguse sana wahusika.