Mwabukusi Rais wa Tanganyika Law society Hajaandamana alijificha chooni huyo halafu wafadhili na upinzani utasikia ndio wanamwita Mwabukusi Shujaa hata wafadhili wanamwita hivyo akili kichwani mwao hazimo kabisa
Mbowe kweli wa kwenda maandamano peke yake? Akina ole ngurumo sijui nani. Mawakili watetea masai mbona hawajatokea kuunga mkono Mbowe maandamano?
Akina sijui members prominent Wapinzani wa Tanganyika Law Society wajitia wapigania haki na demokrasia sijui akina kituo cha haki za binadamu cha Kijo bisimba nk mawakili ki front front kutetea haki za binadamu na shangazi wa taifa anavyojiita Fatuma karume mbona waliufyata hawakutokea maandamano ya Chadema?
Wafadhili Tanzania take note Tanzania tunajuana kuna matapeli wengi sana proffesinal political thieves wamejaa upinzani wafadhili mind your own pockets