Uvccm mfuu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2024
- 453
- 492
Toka lini wapumbavu wakaandamana. Ni wenye akili tu ndio Huwa wanaandamanaTUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Kwahyo Mwabukusi anakaanga Mbuyu Kisha anawaachia wenye meno watafune?Mwabukusi Rais wa Tanganyika Law society Hajaandamana alijificha chooni huyo halafu wafadhili na upinzani utasikia ndio wanamwita Mwabukusi Shujaa hata wafadhili wanamwita hivyo akili kichwani mwao hazimo kabisa
Mbowe kweli wa kwenda maandamano peke yake? Akina ole ngurumo sijui nani. Mawakili watetea masai mbona hawajatokea kuunga mkono Mbowe maandamano?
Akina sijui members prominent Wapinzani wa Tanganyika Law Society wajitia wapigania haki na demokrasia sijui akina kituo cha haki za binadamu cha Kijo bisimba nk mawakili ki front front kutetea haki za binadamu na shangazi wa taifa anavyojiita Fatuma karume mbona waliufyata hawakutokea maandamano ya Chadema?
Wafadhili Tanzania take note Tanzania tunajuana kuna matapeli wengi sana proffesinal political thieves wamejaa upinzani wafadhili mind your own pockets
Ondoa Mara na Singida hapo, tena siku hizi hata Arusha hamna kitu mpaka wameteuliwa eti Kenyonyo ndiye kiongozi wao na Bashite ameubatiza uchuzi kuwa ndiyo Identity ya ChugaKwa Tanzania hii ukitaka maandamano yafae na watu waitikie kuna mikoa ifuatayo ambayo watu wake hawana cha kupoteza.
1. Mbeya
2. Mara
3. Arusha
4. Singida
5. Shinyanga.
Japo kwa Singida na Shinyanga mpaka jambo liwaguse sana wahusika.
Mara wakiamua wanaweza japo Mbeya kwakweli ni kama hawana cha kupoteza wakiamua. Singida siyo kivile nakuvaliana na weweOndoa Mara na Singida hapo, tena siku hizi hata Arusha hamna kitu mpaka wameteuliwa eti Kenyonyo ndiye kiongozi wao na Bashite ameubatiza uchuzi kuwa ndiyo Identity ya Chuga
Maandamano ya waislam yakifanyika Dar licha ya kupigwa marufukusio watanzania wote, ni dar peke yake..ilikuwa sahihi kabisa kuondoa mji mkuu! unakuwaje mji mkuu na watu waoga, wajinga, wanafiki..nk,nk!
SahihiKwahyo Mwabukusi anakaanga Mbuyu Kisha anawaachia wenye meno watafune?
Tanzania remains a dangerous country in which to be a member of the political opposition, despite a change of president in 2021.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Tapeli huyo jumuiya ya kimataifa take noteAlafu Mwambukusi, wenzie walijitokeza walikamatwa, yeye alikua chumbani leo, analaumu watu.
Madamu purezidenti wenu anaupiga mwingi ee?Kwenye maandano ya Simba na Yanga hakuna hatari ya madaraka ya ccm, hivyo huwezi kuona vyombo vya dola vikitumwa na viongozi wa ccm kwenda kuwateka.
Mpuuzi mwingine ni huyu Mwabukusi. Kila kitu anakichukulia katika mtazamo wa harakati.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Mjinga huyo wakili ana elimu ya sheria ya kuungauunga matokeo yake ndio hizi kelele zake.TUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Dar imejaa watu wa mikoanisio watanzania wote, ni dar peke yake..ilikuwa sahihi kabisa kuondoa mji mkuu! unakuwaje mji mkuu na watu waoga, wajinga, wanafiki..nk,nk!
Raha isiyo na uwezo wa kutengeneza kesho yako? Ama kweli wew ni walking deadTUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?