Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Muambieni Simba na Yanga ni Taasisi za muda mrefu kuliko CCM na CHADEMA na ziko mioyoni mwa watu tangu wanazaliwa.
'Nadra' sana kuona mtu anahama timu hizo kama ilivyo kwenye Siasa.
 
Mikoa mingine waliandamana? Maana wakati dar wakiwa wamejifungia mikoa mingine watu wangejitokeza kushangaza. Yuko sawa kusema watz wote.....
Yale maandamano sio ya watu wa dar bali ilikuwa kwa watu wote na kwa amani
Yale maandamano hayakua ya watu wote, bali yalikua ya wana CDM ndiyo maana yariratibiwa na viongozi wa CDM!!
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Duh . Jamaa kaanza kuwachamba sasa ..🤔🤔😳😳
 
Maandamano yaliitishwa na viongozi wa CHADEMA. Mwananchi ambaye siyo mwana CHADEMA yanamhusu nini maamdamano!
 
Mbona Mwabukusi Rais wa TLS hakuonekana maandamano ya Chadema? Kwani yeye sio mtanzania?
Eti analaumu watanzania kutoandamana yeye mrundi?
Mwabukusi siyo mwanachama wa CHADEMA hivyo maandamano ya CHADEMA hayamhusu.
 
Kwa kifupi Watanzania tulio wengi hatuna 'critical thinking' (hatuwezi kuhoji kwa nini mambo yafanyike kama yanavyofanyika na si tofauti). Kwa vile hatuna utamaduni wa kujihoji, tupo tupo tu bora liende, Kila mtu na shughuli zake.
Usiseme WaTanzania..sema watu wa huko...karibu Maasailand uone tunafanyaje hii mambo!
 
😂😂 kichekesho kweli.
Kusema hivyo umemuona mwenye akili sana. Yaani mlitaka maandamano ya chama cha siasa yawe maandamano ya watanzania wote?

Inabidi chama kilichohitisha maandamano kijifanyie tathmini na kijue kwamba hakina wanachama ambao wako tayari kukipigania bali kimejaza wapiga kelele kwenye mitandao.

Hivi CCM wakihitisha maandamano ya kutaka mwenyekiti wa CHADEMA aachie madaraka, wanachadema nao wataandamana kuiunga mkono CCM?

Ebu acha kutumia neno akili nyingi vibaya.
Mwabukusi ana akili nyingi sijahusisha na mambo ya maandamano nimesema ana akili mingi hata wewe ukiwa na akili mingi ntansema tu sina wivu na uwezo wa mtu yoyote.
 
Hivi jamani katika hii dunia Kuna mtu kaja na mwenzie si Kila mtu kaja kivyake Sasa huyu mwakabusi anataka watu waandamane Kwa faida yake na chadema Hilo halipo tanzania hii kama watanzania hatuna habari Kila mtu ashinde vita yake kama maisha yamekupiga andamana kivyako wenzio maisha yetu ni safi ndio maana tunatunza amani na tunafurahia nchi
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Inasikitisha sana.
 
Tunaongozwa na wajinga na sisi tumekubali kuwa wajinga

Usiseme WaTanzania..sema watu wa huko...karibu Maasailand uone tunafanyaje hii mambo!
Hii ni general statement na general statement never apply to every body individually. Ni kama kusema "mimea ina rangi ya kijani". Uyoga uko kwenye kundi la mimea, lakini hauna rangi ya kijani. Nyumbani nina aina ya maua (ambayo pia ni mimea) yana rangi nyekundu. Hope umeona mantinki ya kusema "Watanzania tulio wengi..." Ina maana hao unaowasema wako kwenye kundi la "walio wachache" ambao wanaweza kujihoji au kuhoji jambo. Mfano, unaweza kukuta mtu anampiga mke au mtoto wake vibaya na watu wanaoweza ku'intervene' wapo, na wanaangalia tu hadi anamjeruhi vibaya au anamuua. Unaona ninachomaanisha? Kwa hiyo, wengi wetu tunaona "tatizo la mwingine halinihusu..." na utamaduni wa namna hii unatufanya tuendelee kuwa na matatizo ambayo kama tungeunganisha sauti tungeyaondoa, lakini hatufanyi hivyo na ndiyo maana tukiona mtu au kikundi cha watu wanaodhani haki hatuwapi support, badala yake tunawalaumu au kuwakatisha tamaa wasidai haki zao kwa kuwaambia "wasishindane na serikali" jambo ambalo si kweli.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
What he said makes a lot of sense. Mambo ya msingi ambayo kama tungekuwa na sauti moja tunayadharau na mambo ya kawaida sana (yawepo au yasiwepo hayana effect yoyote) hayo tunayapa kipaumbele. Hivyo, ujumbe aliotaka kuuwasilisha umefika vizuri - maana ukiona reaction ya watu na baadhi kuanza kumrushia maneno makali ujue wanathibitisha alichomaanisha.
 
Hii ni general statement na general statement never apply to every body individually. Ni kama kusema "mimea ina rangi ya kijani". Uyoga uko kwenye kundi la mimea, lakini hauna rangi ya kijani. Nyumbani nina aina ya maua (ambayo pia ni mimea) yana rangi nyekundu. Hope umeona mantinki ya kusema "Watanzania tulio wengi..." Ina maana hao unaowasema wako kwenye kundi la "walio wachache" ambao wanaweza kujihoji au kuhoji jambo. Mfano, unaweza kukuta mtu anampiga mke au mtoto wake vibaya na watu wanaoweza ku'intervene' wapo, na wanaangalia tu hadi anamjeruhi vibaya au anamuua. Unaona ninachomaanisha? Kwa hiyo, wengi wetu tunaona "tatizo la mwingine halinihusu..." na utamaduni wa namna hii unatufanya tuendelee kuwa na matatizo ambayo kama tungeunganisha sauti tungeyaondoa, lakini hatufanyi hivyo na ndiyo maana tukiona mtu au kikundi cha watu wanaodhani haki hatuwapi support, badala yake tunawalaumu au kuwakatisha tamaa wasidai haki zao kwa kuwaambia "wasishindane na serikali" jambo ambalo si kweli.
Hatari sn
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Imewachukua muda mrefu sana kwaelewa watanzania. Hata hivyo hamjachelewa, nawapongeza.
Baada ya kuliewa hili sitarajii kuwaita watanzania waandamane kwa ajili ya katiba mpya, DP world n.k.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Watz wengi sio mashabiki wa mpira ni bendera fuata upepo inayoshinokizwa na umasikini na ujinga

Eti utakuta Jitu limevaa mpaka jezi ya timu wakati halina kinywaji Lilo baa linaboshana tu ujinga
 
Sikushangai kwa sababu bongo tunaamini mtu anayeropoka sana ndo ana akili na uwezo wa kiuongozi.
Ndo maana muda mwingi tunautumia kusifia sifia watu ambao hata hawajatoa mchango wowote wa kusaidia jamii.
Hata hivyo, sikukatazi kuamini kwamba huyo uliyemtaja ana akili sana huo ni uamuzi wako.
Yupo sehemu gani ya kusaidia jamii wakati wanaotakiwa kuwa maeneo sahihi wanapingwa kwa nguvu zote.
wajinga wajinga ndio wanapewa kipaumbele kwa sababu wapo radhi kusifia ili mradi waendelee kuteuliwa tu.
Tanzania imedumaa na watu wake wengi wamedumaa kwa sababu wengi ya walio kwenye sekta nyingi za maamuzi ni wadumavu pia.
Yaani Mbunge ajue kusoma na kuandika harafu ndio watunge sheria ili Nchi iendelee pana watu hapo..
 
Back
Top Bottom