Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale maandamano hayakua ya watu wote, bali yalikua ya wana CDM ndiyo maana yariratibiwa na viongozi wa CDM!!Mikoa mingine waliandamana? Maana wakati dar wakiwa wamejifungia mikoa mingine watu wangejitokeza kushangaza. Yuko sawa kusema watz wote.....
Yale maandamano sio ya watu wa dar bali ilikuwa kwa watu wote na kwa amani
Duh . Jamaa kaanza kuwachamba sasa ..🤔🤔😳😳Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Mwabukusi siyo mwanachama wa CHADEMA hivyo maandamano ya CHADEMA hayamhusu.Mbona Mwabukusi Rais wa TLS hakuonekana maandamano ya Chadema? Kwani yeye sio mtanzania?
Eti analaumu watanzania kutoandamana yeye mrundi?
Usiseme WaTanzania..sema watu wa huko...karibu Maasailand uone tunafanyaje hii mambo!Kwa kifupi Watanzania tulio wengi hatuna 'critical thinking' (hatuwezi kuhoji kwa nini mambo yafanyike kama yanavyofanyika na si tofauti). Kwa vile hatuna utamaduni wa kujihoji, tupo tupo tu bora liende, Kila mtu na shughuli zake.
Mwabukusi ana akili nyingi sijahusisha na mambo ya maandamano nimesema ana akili mingi hata wewe ukiwa na akili mingi ntansema tu sina wivu na uwezo wa mtu yoyote.😂😂 kichekesho kweli.
Kusema hivyo umemuona mwenye akili sana. Yaani mlitaka maandamano ya chama cha siasa yawe maandamano ya watanzania wote?
Inabidi chama kilichohitisha maandamano kijifanyie tathmini na kijue kwamba hakina wanachama ambao wako tayari kukipigania bali kimejaza wapiga kelele kwenye mitandao.
Hivi CCM wakihitisha maandamano ya kutaka mwenyekiti wa CHADEMA aachie madaraka, wanachadema nao wataandamana kuiunga mkono CCM?
Ebu acha kutumia neno akili nyingi vibaya.
Rejea ya mtwara ila yale yalikuwa ya wananchi sio wanasiasa haya yamefeli sbb ni ya wanasiasaKwahiyo nyie wamikoani mko tayari kufa. Basi hayo maandamano kafanyieni Dodoma huko si ndio makao makuu.
Inasikitisha sana.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Tunaongozwa na wajinga na sisi tumekubali kuwa wajinga
Hii ni general statement na general statement never apply to every body individually. Ni kama kusema "mimea ina rangi ya kijani". Uyoga uko kwenye kundi la mimea, lakini hauna rangi ya kijani. Nyumbani nina aina ya maua (ambayo pia ni mimea) yana rangi nyekundu. Hope umeona mantinki ya kusema "Watanzania tulio wengi..." Ina maana hao unaowasema wako kwenye kundi la "walio wachache" ambao wanaweza kujihoji au kuhoji jambo. Mfano, unaweza kukuta mtu anampiga mke au mtoto wake vibaya na watu wanaoweza ku'intervene' wapo, na wanaangalia tu hadi anamjeruhi vibaya au anamuua. Unaona ninachomaanisha? Kwa hiyo, wengi wetu tunaona "tatizo la mwingine halinihusu..." na utamaduni wa namna hii unatufanya tuendelee kuwa na matatizo ambayo kama tungeunganisha sauti tungeyaondoa, lakini hatufanyi hivyo na ndiyo maana tukiona mtu au kikundi cha watu wanaodhani haki hatuwapi support, badala yake tunawalaumu au kuwakatisha tamaa wasidai haki zao kwa kuwaambia "wasishindane na serikali" jambo ambalo si kweli.Usiseme WaTanzania..sema watu wa huko...karibu Maasailand uone tunafanyaje hii mambo!
What he said makes a lot of sense. Mambo ya msingi ambayo kama tungekuwa na sauti moja tunayadharau na mambo ya kawaida sana (yawepo au yasiwepo hayana effect yoyote) hayo tunayapa kipaumbele. Hivyo, ujumbe aliotaka kuuwasilisha umefika vizuri - maana ukiona reaction ya watu na baadhi kuanza kumrushia maneno makali ujue wanathibitisha alichomaanisha.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Hatari snHii ni general statement na general statement never apply to every body individually. Ni kama kusema "mimea ina rangi ya kijani". Uyoga uko kwenye kundi la mimea, lakini hauna rangi ya kijani. Nyumbani nina aina ya maua (ambayo pia ni mimea) yana rangi nyekundu. Hope umeona mantinki ya kusema "Watanzania tulio wengi..." Ina maana hao unaowasema wako kwenye kundi la "walio wachache" ambao wanaweza kujihoji au kuhoji jambo. Mfano, unaweza kukuta mtu anampiga mke au mtoto wake vibaya na watu wanaoweza ku'intervene' wapo, na wanaangalia tu hadi anamjeruhi vibaya au anamuua. Unaona ninachomaanisha? Kwa hiyo, wengi wetu tunaona "tatizo la mwingine halinihusu..." na utamaduni wa namna hii unatufanya tuendelee kuwa na matatizo ambayo kama tungeunganisha sauti tungeyaondoa, lakini hatufanyi hivyo na ndiyo maana tukiona mtu au kikundi cha watu wanaodhani haki hatuwapi support, badala yake tunawalaumu au kuwakatisha tamaa wasidai haki zao kwa kuwaambia "wasishindane na serikali" jambo ambalo si kweli.
CDM iko dar tu?Yale maandamano hayakua ya watu wote, bali yalikua ya wana CDM ndiyo maana yariratibiwa na viongozi wa CDM!!
Imewachukua muda mrefu sana kwaelewa watanzania. Hata hivyo hamjachelewa, nawapongeza.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Watz wengi sio mashabiki wa mpira ni bendera fuata upepo inayoshinokizwa na umasikini na ujingaWatanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Samahani ila kwa maandishi yako upo moderate sana wala sio wa kumkosoa Mwabukusi..Akili nyingi hazionekani kupitia kuongea
Yupo sehemu gani ya kusaidia jamii wakati wanaotakiwa kuwa maeneo sahihi wanapingwa kwa nguvu zote.Sikushangai kwa sababu bongo tunaamini mtu anayeropoka sana ndo ana akili na uwezo wa kiuongozi.
Ndo maana muda mwingi tunautumia kusifia sifia watu ambao hata hawajatoa mchango wowote wa kusaidia jamii.
Hata hivyo, sikukatazi kuamini kwamba huyo uliyemtaja ana akili sana huo ni uamuzi wako.