Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Again and again

We continue to condemn the regime's ongoing persecution of innocent citizens and demand their land…
#Justice for Maasai
 
Kati ya wamasai na hifadhi nini kilianza?
 
Kati ya wamasai na hifadhi nini kilianza?
Wamasai walitokea South Sudan na ku migrate hadi waka settle Serendeti miaka 300 iliyopita.
Kwa hiyo walkuta kuna wanyama tayari pale Serengeti. Ndipo Mkoloni Mwingereza akaamua Serengeti iwe National Park mnamo mwaka 1951 na kuwahamisha Wamasai kwenda Ngorongoro
Leo Serengeti inaonekana ni moja ya sehemu 10 duniani za kipekee ambazo zinavutia watalii ni kwa sababu ya maamuzi ya Mkoloni Mwingereza


Ngorongoro lazima tuiamulie leo kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
  • Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
  • ⁠kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
 
Asante Mkuu Kwa maelezo yenye mashiko
 
KUENDELEA KUKAA NA KUHARIBU UHAI WA HIFADHI HAIKUBALIKI,WAMASAI WALIO WENGI WAMEONDOKA KWA HIYARI YAO NA KWENDA MSOMERA,SASA HAO MNAOWAPIGIA KIFUA WAENDELEE KUBAKIA HAPO NI WA KUWAINGIZA KWENYE SHIDA TUH.
Kinachoshangaza ni kuwa wanatoka wamasai wanawekwa wengine.....pointi ya conservation inakataa ndio maana watu hawaamini kama wanafukuzwa sababu ya uharibifu wa mazingira au kuna biashara nyingine.
 
Uongo mtupu.
 
Kafanye utafiti uache bla bla Mr Stuxnet.

Wamasai hawajawahi kuwa chanzo cha Mazingira kuharibika over centuries ambazo wamekaa hapo.
 
Mgogoro huu umeuvamia......huujui.

Ulianza 1992 chini ya mzee Fulani Marehemu kwa Sasa.

Wenye Ardhi yao wameitaka tunajua lazma wamasai waondoke lakini sio Sawa
 
Kinachoshangaza ni kuwa wanatoka wamasai wanawekwa wengine.....pointi ya conservation inakataa ndio maana watu hawaamini kama wanafukuzwa sababu ya uharibifu wa mazingira au kuna biashara nyingine.
WANAWEKWA WENGINE WEPI??WE UMEFIKA NGORONGORO??WATU WANAULIWA KILA SIKU NA WANYAMA WAKALI KUTOKANA NA KUZIDI KUJICHANGANYA KWAO NA WANYAMA WA HIFADHINI,MWISHO WAKE NA WAO KUFANYA RETALIATION WANAUA HAO WANYAMA NA MAMBO MENGINE MENGI,KWANI KUHAMISHWA HAO WATU HUKO WANAHAMISHWA BILA SABABU??NA KWANIN HIZI HOJA ZA KUHIFADHI HAMTAKI KUZIJIBU??

NENDA KASOME TOURISM INVESTMENT MANUAL 2019 - 2024 VITU VYOTE VIMEELEZEWA NA KWA UTARATIBU UNAOELEWEKA KABISA.
 
Ngoro ngoro ni Authority kubwa tena kimataifa. Haya unayoongea sijui unayatoa wapi
 
Kufanana na Kieffer Sunderland a.ka Jack Bauer
 
Hosea alikuwa ofisi ya umma na ilikuwa imeshamshinda Sasa mikikimikiki ya TLS asingeiweza, just alichukulia kama Shirika la umma na sehemu ya kustaafia
Sasa ndo TLS imempata Rais siyo wale wapigaji akina Hosea, Fatma Karume
 
Mgogoro huu umeuvamia......huujui.

Ulianza 1992 chini ya mzee Fulani Marehemu kwa Sasa.

Wenye Ardhi yao wameitaka tunajua lazma wamasai waondoke lakini sio Sawa
Ninajuwa kuliko unachikijua na niko scientific kwenye arguments zangu. Hiyo issue ya Ortelo Business Corporation na Loliondo naijuwa na wala siyo mgogoro.

Uliza usichojuwa nikujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…