Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAHOTELI YANAHARIBU VIPI MAZINGIRA??HAO WAFUGAJI WAMEKUWA WENGI NA MIFUGO YAO KILA SIKU INAZIDI KUKUA,MALISHO YA MIFUGO YAO NI HAPO HAPO MBUGANI,SHUGHULI ZAO ZA KIBINADAMU KAMA KUKATA KUNI,MITI NA KUCHOMA MOTO MISITU NI HAPO HAPO MBUGANI,SASA UNATAKA WAACHWE HAPO HADI LINI??NA SISI TUNATEGEMEA SERENGETI NA NGORO NGORO KUTUINGIZIA FEDHA ZA KIGENI KWA UTALII??
KWANINI LAKINI CHADEMA HAMTUMII AKILI MAFALA NYINYI?
Kosa halihalashi kosa, grow up dude!MBONA MAGUFULI ALIIKABIDHI VATICAN KWA BABU ZENU NA SISI HATUKUSEMA KITU??
Wamasai walitokea South Sudan na ku migrate hadi waka settle Serendeti miaka 300 iliyopita.Kati ya wamasai na hifadhi nini kilianza?
Asante Mkuu Kwa maelezo yenye mashikoNaomba nikuelezee mambo yanayojiri Ngorongoro ili usije kuwa unapotoshwa, na kuanza kuilaumu Serikali kimakosa:-
1. Watu wanaishi Ngorongoro bila kuwa na huduma muhimu za jamii, hususani shule, hospitali, na nyumba za kuweza kuishi binadamu wa karne hii.
2. Watu wanakufa kwa kuliwa na wanyama wakali, ie simba nk, nilishuhudia mabaki ya watoto waliokuwa wanatoka kuchunga mifugo wakavamiwa na kuliwa na simba, mtoto mmoja akawahi kukimbia akapanda mti. Huyo mtoto anasishi na trauma mpaka leo
3. Robo tatu ya watu wanaoishi Ngorongoro hawamiliki mfugo hata mmoja, mifugo iliyomu humo ni ya watu wengine tofauti kabisa ambao wamepeleka mifugo yao humo kwa ajili ya malisho, na kuwapa watu wanaoishi humo kazi ya kuitunza mifugo hiyo, na ndiyo wanao-fund hayo maandamano ya wamasai kwaajili ya interest zao.
4. Kuna baadhi ya jirani zetu wanasafirisha nyama ya kondoo uarabuni, sasa kwa kukosa maeneo ya malisho nchini mwao, wameamua kuwapa wamasai wanaoishi huko kwao mkataba wa kuwanoneshea mifugo hiyo kwenye bonde la Ngorongoro na kwa kuwa koo za wamasai zimesambaa across boundary wamewaruhusu wenzao kuleta hiyo mifugo, ili waweze kutimiza mikataba waliyokubaliana na watu wa uarabuni wa kuwapelekea nyama. Ndiyo maana usishangae kuwaona jirani zetu wakijadali hoja ya Ngorongoro mpaka kwenye bunge lao.
Sasa serikali imefanyaje kutatua tatizo hilo.
5.Serikali iliamua kutenga budget na kuwajengea nyumba ya vyumba vitatu ya matofali ya block, mkoani Tanga, eneo la Msomera, na kuwapa maeneo ya malisho, na mtaji, watu wote waliokubali kuondoka ngorongoro na kuhamia msomera. Lakini ushangae kwamba watu hawataki kutoka pamoja na kupewa nyumba bure yenye eneo la ekari mbili na nusu, pamoja na ekari zingine tano za shamba la kulima pamoja na ardhi nyingine ambayo ni communal land kwa ajili ya malisho.
6.Bado still kila kaya inayohamia Msomera inalipwa mtaji wa shilingi milioni kumi ili iweze kununua mifugo yao mwenyewe.
7. Lakini pia, ukumbuke eneo la Ngorongoro sio eneo la Wamasai peke yao kama wanavyotaka kuwaaminisha watu, wenyeji wa asili pale Ngorongoro ni kabila la Wahadzabe, Wadatoga na Wamasai, lakini haya makabila mengine hayana shida yoyote ya kuhamia Tanga.
Sasa baada ya serikali kuyafanya hayo yote, utakuwa mtu wa namna gani, kuanza kuandika mabango kumchafua Rais na Serikali yake, kama itakuwa sio kwamba watu hawa wana agenda nyingine under the carpet
Kinachoshangaza ni kuwa wanatoka wamasai wanawekwa wengine.....pointi ya conservation inakataa ndio maana watu hawaamini kama wanafukuzwa sababu ya uharibifu wa mazingira au kuna biashara nyingine.KUENDELEA KUKAA NA KUHARIBU UHAI WA HIFADHI HAIKUBALIKI,WAMASAI WALIO WENGI WAMEONDOKA KWA HIYARI YAO NA KWENDA MSOMERA,SASA HAO MNAOWAPIGIA KIFUA WAENDELEE KUBAKIA HAPO NI WA KUWAINGIZA KWENYE SHIDA TUH.
Uongo mtupu.Naomba nikuelezee mambo yanayojiri Ngorongoro ili usije kuwa unapotoshwa, na kuanza kuilaumu Serikali kimakosa:-
1. Watu wanaishi Ngorongoro bila kuwa na huduma muhimu za jamii, hususani shule, hospitali, na nyumba za kuweza kuishi binadamu wa karne hii.
2. Watu wanakufa kwa kuliwa na wanyama wakali, ie simba nk, nilishuhudia mabaki ya watoto waliokuwa wanatoka kuchunga mifugo wakavamiwa na kuliwa na simba, mtoto mmoja akawahi kukimbia akapanda mti. Huyo mtoto anasishi na trauma mpaka leo
3. Robo tatu ya watu wanaoishi Ngorongoro hawamiliki mfugo hata mmoja, mifugo iliyomu humo ni ya watu wengine tofauti kabisa ambao wamepeleka mifugo yao humo kwa ajili ya malisho, na kuwapa watu wanaoishi humo kazi ya kuitunza mifugo hiyo, na ndiyo wanao-fund hayo maandamano ya wamasai kwaajili ya interest zao.
4. Kuna baadhi ya jirani zetu wanasafirisha nyama ya kondoo uarabuni, sasa kwa kukosa maeneo ya malisho nchini mwao, wameamua kuwapa wamasai wanaoishi huko kwao mkataba wa kuwanoneshea mifugo hiyo kwenye bonde la Ngorongoro na kwa kuwa koo za wamasai zimesambaa across boundary wamewaruhusu wenzao kuleta hiyo mifugo, ili waweze kutimiza mikataba waliyokubaliana na watu wa uarabuni wa kuwapelekea nyama. Ndiyo maana usishangae kuwaona jirani zetu wakijadali hoja ya Ngorongoro mpaka kwenye bunge lao.
Sasa serikali imefanyaje kutatua tatizo hilo.
5.Serikali iliamua kutenga budget na kuwajengea nyumba ya vyumba vitatu ya matofali ya block, mkoani Tanga, eneo la Msomera, na kuwapa maeneo ya malisho, na mtaji, watu wote waliokubali kuondoka ngorongoro na kuhamia msomera. Lakini ushangae kwamba watu hawataki kutoka pamoja na kupewa nyumba bure yenye eneo la ekari mbili na nusu, pamoja na ekari zingine tano za shamba la kulima pamoja na ardhi nyingine ambayo ni communal land kwa ajili ya malisho.
6.Bado still kila kaya inayohamia Msomera inalipwa mtaji wa shilingi milioni kumi ili iweze kununua mifugo yao mwenyewe.
7. Lakini pia, ukumbuke eneo la Ngorongoro sio eneo la Wamasai peke yao kama wanavyotaka kuwaaminisha watu, wenyeji wa asili pale Ngorongoro ni kabila la Wahadzabe, Wadatoga na Wamasai, lakini haya makabila mengine hayana shida yoyote ya kuhamia Tanga.
Sasa baada ya serikali kuyafanya hayo yote, utakuwa mtu wa namna gani, kuanza kuandika mabango kumchafua Rais na Serikali yake, kama itakuwa sio kwamba watu hawa wana agenda nyingine under the carpet
IpasavyoTLS inatimiza wajibu wake
Wana wa Ngorongoro watoa hotuba nzito, huku viongozi wa serikali mkoa na Polisi wakiwasikiliza kwa umakini madai ya watu wa Ngorongoro....
WAMGOMEA KATIBU TAWALA ARUSHA "TUNAMTAKA RAIS AJE HAPA "
View: https://m.youtube.com/watch?v=zAIyZmN-Zo4
Kafanye utafiti uache bla bla Mr Stuxnet.Wamasai walitokea South Sudan na ku migrate hadi waka settle Serendeti miaka 300 iliyopita.
View attachment 3074855 Kwa hiyo walkuta kuna wanyama tayari pale Serengeti. Ndipo Mkoloni Mwingereza akaamua Serengeti iwe National Park mnamo mwaka 1951 na kuwahamisha Wamasai kwenda Ngorongoro
View attachment 3074857 Leo Serengeti inaonekana ni moja ya sehemu 10 duniani za kipekee ambazo zinavutia watalii ni kwa sababu ya maamuzi ya Mkoloni Mwingereza
Ngorongoro lazima tuiamulie leo kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
- Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
- kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
Mgogoro huu umeuvamia......huujui.Wamasai walitokea South Sudan na ku migrate hadi waka settle Serendeti miaka 300 iliyopita.
View attachment 3074855 Kwa hiyo walkuta kuna wanyama tayari pale Serengeti. Ndipo Mkoloni Mwingereza akaamua Serengeti iwe National Park mnamo mwaka 1951 na kuwahamisha Wamasai kwenda Ngorongoro
View attachment 3074857 Leo Serengeti inaonekana ni moja ya sehemu 10 duniani za kipekee ambazo zinavutia watalii ni kwa sababu ya maamuzi ya Mkoloni Mwingereza
Ngorongoro lazima tuiamulie leo kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
- Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
- kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
WANAWEKWA WENGINE WEPI??WE UMEFIKA NGORONGORO??WATU WANAULIWA KILA SIKU NA WANYAMA WAKALI KUTOKANA NA KUZIDI KUJICHANGANYA KWAO NA WANYAMA WA HIFADHINI,MWISHO WAKE NA WAO KUFANYA RETALIATION WANAUA HAO WANYAMA NA MAMBO MENGINE MENGI,KWANI KUHAMISHWA HAO WATU HUKO WANAHAMISHWA BILA SABABU??NA KWANIN HIZI HOJA ZA KUHIFADHI HAMTAKI KUZIJIBU??Kinachoshangaza ni kuwa wanatoka wamasai wanawekwa wengine.....pointi ya conservation inakataa ndio maana watu hawaamini kama wanafukuzwa sababu ya uharibifu wa mazingira au kuna biashara nyingine.
Ngoro ngoro ni Authority kubwa tena kimataifa. Haya unayoongea sijui unayatoa wapiWANAWEKWA WENGINE WEPI??WE UMEFIKA NGORONGORO??WATU WANAULIWA KILA SIKU NA WANYAMA WAKALI KUTOKANA NA KUZIDI KUJICHANGANYA KWAO NA WANYAMA WA HIFADHINI,MWISHO WAKE NA WAO KUFANYA RETALIATION WANAUA HAO WANYAMA NA MAMBO MENGINE MENGI,KWANI KUHAMISHWA HAO WATU HUKO WANAHAMISHWA BILA SABABU??NA KWANIN HIZI HOJA ZA KUHIFADHI HAMTAKI KUZIJIBU??
Kufanana na Kieffer Sunderland a.ka Jack BauerLakini kumbuka ndani ya Serengeti kuna zile hotels za Singita and Sasakwa Lodges zipo toka wakati wa B W Mkapa mwaka 2002 na mmiliki ni Paul Tudor Jones ambaye ni Marekani.
View attachment 3074797View attachment 3074799 Kama Mmarekani alimiliki mwaka 2002 leo hii akija mwekezaji kutoka Oman inaonekana ni kitu cha Samia na wajomba.
Huu ndiyo UPIMBI wa Watanzania. Hela hazina dini, kabila wala rangi
Sasa ndo TLS imempata Rais siyo wale wapigaji akina Hosea, Fatma Karume
Ndiyo uzuri wa uhuru wa maoni lakini whether unakubali au unakataa, hiyo ndiyo situation kwa groundUongo mtupu.
Ninajuwa kuliko unachikijua na niko scientific kwenye arguments zangu. Hiyo issue ya Ortelo Business Corporation na Loliondo naijuwa na wala siyo mgogoro.Mgogoro huu umeuvamia......huujui.
Ulianza 1992 chini ya mzee Fulani Marehemu kwa Sasa.
Wenye Ardhi yao wameitaka tunajua lazma wamasai waondoke lakini sio Sawa