baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea?
Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke.
Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.