Mwachie Emanuel Nchimbi punguzeni kuendesha nchi kihuni

Mwachie Emanuel Nchimbi punguzeni kuendesha nchi kihuni

Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Umeambiwa nq nan kashikiliwa mtu kaamua kustaafu mwachen apumzike nyumban ajitikezee mitaan kutafut nn acheni kuleta taharuki kwa unavyomjua nchimbi ni mtu wa kumuweka house arrest kama kikao chao tu aliwagomea
 
Wadanganye watoto wako Ndo hasipokee simu za Warioba ?
 
Tanzania inaelekea kubaya saaaana.

Nahisi Jumuiya ya Kimataifa itaingilia kati kabla mambo hayajalipuka maana amani ya ukanda wote wa EA inategemea sana amani ya Tanzania, unless wataona watafaidika na kuona ukanda mzima ukilipuka.

Miezi 18 ijayo itatuambia hatma ya Tanzania.
 
Ndio
 
Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!

Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',

Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.

Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!

Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.
 
Watanganyika!!! Ni watu wa makelele mitandaoni, vitendo zero.
 
Wadanganye watoto wako Ndo hasipokee simu za Warioba ?
Sasa huyo Nchimbi mwenyewe atakuwa ni mtu wa kustaajabisha sana.
Nchimbi hakuwa na mke, watoto, marafiki au watu wa karibu naye ndani ya family yake, kwamba ashikiliwe bila hata mmoja wao kutamka kitu chochote watu wajue?

Unaweza kueleza kwa nini iwe hivyo?

Hata kama hao wote hawataki kujulikana kuwa ni wao wametoa taarifa hadharani za kuzuiwa Nchimbi; hawawezi hata kuwaeleza watu wengine nje ya familia au ndugu zake kwa siri?

Kutotaka kuonekana kwa nchimbi au kusikika, haiwezi ikawa ni uamzi wake mwenyewe kwa sababu anazozijuwa yeye?
 
Nadhani tungetulia .....Nchimbi yuko salama na ndugu zake wanajua hilo...TEC wanajua hilo....tutulie .....vipi kesho kaibukia CDM kachukua form ....uanachama ? Baada hapo yajayo yatapendeza usisahau nanyeyeyuko kazini kuna kazi ....alamsiki
 
Nchimbi katengenezwa kuua ushawishi wa lissu kwenye jamii

Chandore Kuweni na akili

Kumjadili tu inatosha kusema hamnazo.. wehu nyie.!
 
Huyo Nchimbi hana ndugu au wanasheria? Si wafungue kesi mahakamani kama amezuiwa, ili afikishwe mahakamani na kama hana issue ya kumshtaki wamwachie huru.
Watanzania tuko waajabu sana, unaweza kukuta ndugu hawajui aliko nao wanang'aa macho tu. Mtafuteni, serikali haina haki ya kunshilikilia mtu bila sheria, enzi za akina Jumbe za uonevu zimepitwa na wakati. Hata kama mahakama ni za ccm kitendo cha watu kufungua kesi kitawapa watu alert ya kujua huyu mtu yuko hai au amepotezwa kama polepole. Ndugu wa Nchimbi fungueni kesi achana na mawazo ya kijinga, serikali hii imeshaua zaidi ya watu mia tano oktoba 29 haiwezi kusita kumpoteza mtu mmoja tu.

Pascal Mayalla pitia hapa
 
Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
WEahuni siyo watu wazuri ,kama walimuua Chaula bila sababu zozote za msingi ndiyo itakuwa Polepole au Nchimbi ambao walikuwa wanawapiga kwenye mshono?
 
Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!

Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',

Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.

Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!

Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.

Leo Umesahau Gen Z walifanya Rais wa nchi kuapishwa kichochoroni Umesahau Gen Z hawa hawa waliofanya mitandaoni ya kijamii kufungwa zaidi ya siku tano Ge nZ hawa hawa waliosababisha kusimamisha shughuli zote za kiserikali siku tano bila kufanyika shughuli yoyote au Umesahau bila JWTZ bila hawa Samia hasingekua Ikulu mnasahau mapema mpaka Rais kawapa wizara unataka wawashe tena moto sema sisi ndo tuko karibu na Gen Z
 
Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu
Hakuna taarifa zozote rasmi za VP Dr. Nchimbi Kuzuiliwa, hivyo atakuwa amejipumzikia tuu pale nyumbani kwake kwenye nyumba rasmi ya VP, amejipumzikia baada ya kustaafu, akisubiria September 4 kukabidhi nyumba na ofisi na yeye kurejea zake Songea.

P
 
Ndugu wa Nchimbi fungueni kesi achana na mawazo ya kijinga, serikali hii imeshaua zaidi ya watu mia tano oktoba 29 haiwezi kusita kumpoteza mtu mmoja tu.
Hivi unawajua vizuri hao Wahuni wenye kiu ya damu za watu?
Ukiwa kwenye hekaheka za kufungua kesi kwenye mahakama-ccm, Mafwele na kundi lake wanaingia mzigoni
 
Back
Top Bottom