Time will tell the tell....mwisho wa ubaya ni aibu.Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Inasikitisha lakini tunatokaje hapa!!Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Kweli kabisa. Angetembela upepo wa Nchimbi ili at least aonekane yuko pamoja na wananchi.Kipindi kama hiki Samia alikua anamuhitaji Nchimbi kuliko Nchimbi alivyokua anamuhitaji Samia Ila kwakua yeye anajiona ana akili sana ujanja mwingi mbele giza
Huyo Nchimbi hana ndugu au wanasheria? Si wafungue kesi mahakamani kama amezuiwa, ili afikishwe mahakamani na kama hana issue ya kumshtaki wamwachie huru.Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Kwahiyo utafanyaje ili watoe damu maskioni?Hao kenge kuelewa kwao ni masikio kutoka damu.