wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Umeambiwa nq nan kashikiliwa mtu kaamua kustaafu mwachen apumzike nyumban ajitikezee mitaan kutafut nn acheni kuleta taharuki kwa unavyomjua nchimbi ni mtu wa kumuweka house arrest kama kikao chao tu aliwagomeaKuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Umeambiwa nq nan kashikiliwa mtu kaamua kustaafu mwachen apumzike nyumban ajitikezee mitaan kutafut nn acheni kuleta taharuki kwa unavyomjua nchimbi ni mtu wa kumuweka house arrest kama kikao chao tu aliwagomea
Tanzania inaelekea kubaya saaaana.
Nahisi Jumuiya ya Kimataifa itaingilia kati kabla mambo hayajalipuka maana amani ya ukanda wote wa EA inategemea sana amani ya Tanzania, unless wataona watafaidika na kuona ukanda mzima ukilipuka.
Miezi 18 ijayo itatuambia hatma ya Tanzania.
Sasa huyo Nchimbi mwenyewe atakuwa ni mtu wa kustaajabisha sana.Wadanganye watoto wako Ndo hasipokee simu za Warioba ?
Huyo Nchimbi hana ndugu au wanasheria? Si wafungue kesi mahakamani kama amezuiwa, ili afikishwe mahakamani na kama hana issue ya kumshtaki wamwachie huru.
Watanzania tuko waajabu sana, unaweza kukuta ndugu hawajui aliko nao wanang'aa macho tu. Mtafuteni, serikali haina haki ya kunshilikilia mtu bila sheria, enzi za akina Jumbe za uonevu zimepitwa na wakati. Hata kama mahakama ni za ccm kitendo cha watu kufungua kesi kitawapa watu alert ya kujua huyu mtu yuko hai au amepotezwa kama polepole. Ndugu wa Nchimbi fungueni kesi achana na mawazo ya kijinga, serikali hii imeshaua zaidi ya watu mia tano oktoba 29 haiwezi kusita kumpoteza mtu mmoja tu.
WEahuni siyo watu wazuri ,kama walimuua Chaula bila sababu zozote za msingi ndiyo itakuwa Polepole au Nchimbi ambao walikuwa wanawapiga kwenye mshono?Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu binafsi tukisema mnaendesha nchi kihuni tunakosea? Hatuwezi kua na nchi inaendeshwa kihuni. Tangia Nchimbi amejiuzulu hakuna sehemu ambayo amejitokeza kuendelea kumshikilia naweza kusema ni hatari zaidi kama mnataka kuona hatari yenyewe endeleeni kumshikilia maana kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke. Mnataka kuamsha hisia za watu na hasira. Mmempoteza Polepole tumekaa kimya mmeua ndugu zetu October 29 tupo kimya mmemweka jela Lissu kwa kesi za kipumbavu tuko kimya hatujasema ya mzee Ally kibao sasa kwa Nchimbi kuna kitu mnakitafuta kwa Watanzania wapenda haki na nchi yao mtakipata.
Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!
Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',
Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.
Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!
Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.
Hakuna taarifa zozote rasmi za VP Dr. Nchimbi Kuzuiliwa, hivyo atakuwa amejipumzikia tuu pale nyumbani kwake kwenye nyumba rasmi ya VP, amejipumzikia baada ya kustaafu, akisubiria September 4 kukabidhi nyumba na ofisi na yeye kurejea zake Songea.Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu
Hivi unawajua vizuri hao Wahuni wenye kiu ya damu za watu?Ndugu wa Nchimbi fungueni kesi achana na mawazo ya kijinga, serikali hii imeshaua zaidi ya watu mia tano oktoba 29 haiwezi kusita kumpoteza mtu mmoja tu.
Na Polepole alikua anatengeneza nini?
MakeboNa Polepole alikua anatengeneza nini?